Mtanzania Mzawa
JF-Expert Member
- Jul 2, 2017
- 401
- 405
Bora Umeuliza..me too I hate that statement. ...eti (WAKILI MSOMI)Kwan kuna standard seven ambaye ni Wakili?hivi kuna wakili ambaye sio msomi??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bora Umeuliza..me too I hate that statement. ...eti (WAKILI MSOMI)Kwan kuna standard seven ambaye ni Wakili?hivi kuna wakili ambaye sio msomi??
Unless uwe hujawashuhudia mawakili wanavyoendesha kesi, utaona maswali ya Kibatala ya kitoto.Kibatala ni Mwanasheria wa kawaida sana!
Nimesoma mahojiano yake jana Mahakamani kuhusu kesi ya Dikteta Uchwara ana maswali ya kitoto sana!
Tatizo lenu wengi " Lugha" haipandi mngetazama Citizen Tv, KTN na K24 muone nini maana ya Wanasheria wasoma na sio upuuzi wa eti KIBATALA!
Kaz ya uwakili nilivutiwa Nayo baada ya kuangalia Boston legal ya kina Allan shoe na dany crane kuna maswali MTU anaweza kujichanganyaUnless uwe hujawashuhudia mawakili wanavyoendesha kesi, utaona maswali ya Kibatala ya kitoto. Vyema kunyamaza na kupanga muda, kisha uende mahakamani uone jinsi wanavyotekeleza majukumu yao.
Umeongozwa na chuki kuliko ukweli..Kibatala ni Mwanasheria wa kawaida sana!
Nimesoma mahojiano yake jana Mahakamani kuhusu kesi ya Dikteta Uchwara ana maswali ya kitoto sana!
Tatizo lenu wengi " Lugha" haipandi mngetazama Citizen Tv, KTN na K24 muone nini maana ya Wanasheria wasoma na sio upuuzi wa eti KIBATALA!
Nafkiri hajawahi kumwona Dr. Lamwai. Mkali wa cross examination duniani....Unless uwe hujawashuhudia mawakili wanavyoendesha kesi, utaona maswali ya Kibatala ya kitoto. Vyema kunyamaza na kupanga muda, kisha uende mahakamani uone jinsi wanavyotekeleza majukumu yao.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mangiiiiiiiiiiiiiii Nimecheka mpaka mbavu zaumaaaaaaaaaaaaaaUnataka mwanasheria akuulize maswali ya kutafuta mzingo au eneo??? Au unataka akuulize maswali ya kutafuta kani uelekeo na jitihada.....
Wakili anaweza akakuuliza Jana umegegedwa bao ngapi??? Na macho yakakutoka na Kesi ikafungwa, ukagongwa nyundo kadhaa.
Bila kumsahau wakili msomi lemutuz the nation a.k.a libaharia!Bila kumsahau wakili msomi lusinde kibajaji
Rudi shule za na wewe utakuwa wakili msomiBora Umeuliza..me too I hate that statement. ...eti (WAKILI MSOMI)Kwan kuna standard seven ambaye ni Wakili?
Ninayo ya kuwazidi baadhi ila sijiiti msomi na spendi kuitwaRudi shule za na wewe utakuwa wakili msomi
Kweli mkuu ila tungependa kujua kibatala kashinda kesi ngapi hadi sasa?Umahiri wa wakili haupimwi kwenye kesi ngapi kashinda au kashindwa maana kesi ni ya mteja sio ya wakili...hapa inabido uwe wakili ulieiva kwenye maadili kuelewa nini nimesema kama sio wakili au mwanasheria kausha
Ulivyoangalia Izo channel za Kenya, ulivyoona awo wanasheria, ulivyoona wanaongea kiingereza ndio ukajua kwamba usomi ni kiingereza. kweli akili yetu hiii ya kitanzania inatakiwa kuombewaKibatala ni Mwanasheria wa kawaida sana!
Nimesoma mahojiano yake jana Mahakamani kuhusu kesi ya Dikteta Uchwara ana maswali ya kitoto sana!
Tatizo lenu wengi " Lugha" haipandi mngetazama Citizen Tv, KTN na K24 muone nini maana ya Wanasheria wasoma na sio upuuzi wa eti KIBATALA!
ww ndo mpuuzi ,hizo mahakama za Kenya ziko fair mahakimu hawapangiwi hukumuKibatala ni Mwanasheria wa kawaida sana! Nimesoma mahojiano yake jana Mahakamani kuhusu kesi ya Dikteta Uchwara ana maswali ya kitoto sana! Tatizo lenu wengi " Lugha" haipandi mngetazama Citizen Tv,KTN na K24 muone nini maana ya Wanasheria wasoma na sio upuuzi wa eti KIBATALA!
Yupo, si G. lema na mwenzie F. Mbowe!hivi kuna wakili ambaye sio msomi??
Unamfaham au unamsikia?Kibatala ni Mwanasheria wa kawaida sana!
Nimesoma mahojiano yake jana Mahakamani kuhusu kesi ya Dikteta Uchwara ana maswali ya kitoto sana!
Tatizo lenu wengi " Lugha" haipandi mngetazama Citizen Tv, KTN na K24 muone nini maana ya Wanasheria wasoma na sio upuuzi wa eti KIBATALA!
Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni! Kuna watu wanazitendea haki elimu zao na jamii inakuwa inaona kabisa. Mmoja wa watu ambao kwakweli anaitendea haki elimu yake ni Wakili na Mwanasheria msomi Peter Kibatala.
Kesi zote ambazo wakili huyu huzitetea lazima atoboe. Huwa anabishana kwa vifungu vya sheria na mawakili wa Serikali katika mahakama nyingi sana nchini.Huyu Bwana kwakweli yupo vzr sana.
Huyu wakilo no kabila gani na amezaliwa wapi?
Huyu wakili amesoma wapi na level yake ya elomu ni kiwango gani?
Namkubali sana Peter Kibatala
Hii ndiyo cv ya kibatala?ana bba ya st Agustine.Kwao ni marangu