TANZIA Wakili mtetezi wa ICTR Prof. Jwani Mwaikusa auawa Tanzania

TANZIA Wakili mtetezi wa ICTR Prof. Jwani Mwaikusa auawa Tanzania

Hii ndio kazi ya usalama wa taifa? Au usalama wa viongozi wabovu? Circumstantial evidence shows that his death is associated with independent candidacy court of appeal proceedings! Hivi wewe Augustino Ramadhani na jopo lako la majaji sita mlishindwa kuamua wenyewe?

Ila aliye juu na mwenye uweza kuliko wote atalishughulikia suala ili na kutoa haki. Na wauwaji hawana muda wa kuishi zaidi ya miaka 50 kutoka 2010 ukizingatia life expectancy yetu; hivyo wanahangaikia mambo ya kupita.

RIP Prof.


Naungana mkono na wewe Mwanamayu!!. This is so clear!!!. Wameona kumuondoa Mchungaji Mtikila itakuwa so evident!!.This is so Bad!!!
Mimi nakataa wala si wanyarwanda, Ni sisi wenyewe na wala si Majambazi!!. Ni watu ambao wapo kwenye ajira iliyo Rasmi!!
 
Wizi huu hapo salasala, Kinzudi, Goba ni wa kila siku tu,,, Wanapora maduka vocha, na kupiga risasi...Naomba niungane na wanaopendekeza JWTZ Wapewe sheria ya Kulinda raia kwani Jeshi la Polisi wameshindwa kazi.

Kama wapita Barabarani kila km 1 kuna traffic 10..... je kwanini wasilinde usiku......Magari Ya jeshi JWTZ yapo naona wao wapelekwe mtaani hiwe ni Vita tu. Je ongezeko la Silaha ni wakimbizi au baada ya kuruhusu kuuza silaha na watu kumiliki?
 
Bongolander

Una maana gani kusema hivyo ina maana umesha conclude kuwa ni mauaji ya kisiasa, i dont think so, kama una uhakika basi ni vizuri ukaisaidia polisi.

Unamtishia Bongo lander!!???. Ametoa Maoni yake! Halazimishwi mtu kuamini hivyo!!
 
Wizi huu hapo salasala, Kinzudi, Goba ni wa kila siku tu,,, Wanapora maduka vocha, na kupiga risasi...Naomba niungane na wanaopendekeza JWTZ Wapewe sheria ya Kulinda raia kwani Jeshi la Polisi wameshindwa kazi.

Kama wapita Barabarani kila km 1 kuna traffic 10..... je kwanini wasilinde usiku......Magari Ya jeshi JWTZ yapo naona wao wapelekwe mtaani hiwe ni Vita tu. Je ongezeko la Silaha ni wakimbizi au baada ya kuruhusu kuuza silaha na watu kumiliki?

Wawaborehee maslahi kwanza kabla ya kuwakabidhi hilo jukumu!!. Vinginevyo ni sawa na kumkabidhi ng'ombe mwenye njaa alinde majani yasiliwe na Mbuzi.
 
Kuna walakini kwenye mauaji ya huyu profesa hasa hao majambazi kutochukua kitu chochote. R.I.P prof.
 
Inawezekana Kagame kishafika bongo baada ya kutoka South africa, these guys are seriously defending the pandora box of Rwanda genocide to be unveiled. Huyu Prof. ndiye aliyewezesha kuzuia watuhumiwa (Wahutu) kutotolewa Arusha na kwenda kushtakiwa Rwanda. Na kama kweli atakuwa ni huyu Junta itakuwa ngumu sana kuwakamata wahusika na hata wakikamatwa watapotea kiana tu kama inavyotokea South Africa.
 
Haya mauaji si jambo dogo hata kidogo..kuna kiza kinene behind the scene..
R.I.P Prof. Jwani
 
The legacy of prof. Mwaikusa will live forever. His non bias stand will be remembered by all friends and all those who supports democracy.
Mungu muweke peponi prof. Wetu.
 
Tunatumai ni kifo cha kawaida sio chenye mkono wa mtu..
..SOTE TU MAVUMBI NA MAVUMBINI TUTARUDI...pumzikeni kwa amani

Mkuu sijui kama umesoma between the lines. How can you say this. Kifo cha kawaida maana yake nini? Natural death? habari zinasema ameauwa kwa kupigwa risasi na majambazi ambao hawakuiba kitu, walimkagua tu mfukoni mwake na kuhakikisha kuwa kweli amekufa, can you call it natural death? Baadae ili waonekane kuwa majambazi wakaenda kuiba simu na vitu vidogo vidogo, can you call this kifo kisicho na mkono wa tu.
 
Tanzanian Lawyer Who Defended Rwanda Genocide Suspect Is Killed

July 16, 2010, 4:07 AM EDT

July 16 (Bloomberg) -- A Tanzanian lawyer who defended a Rwandan genocide suspect was shot dead and documents were stolen from his vehicle in an attack in which two other people died, the International Criminal Tribunal for Rwanda said.

Jwani Mwaikusa, 58, was killed at the gate of his home at 10.30 p.m. on July 13 in Dar es Salaam, Tanzania’s commercial hub, tribunal spokesman Roland Amoussouga said in a phone interview today. Mwaikusa’s 25-year-old nephew and an unidentified neighbor were also shot dead, he said.

“He was confronted by people and they shot him twice, once in the head and the chest,” Amoussouga said. “The nephew struggled with one of the assailants and he was killed on the spot. There was a commotion and one of the neighbors that came out was also killed.”

Mwaikusa was the lead lawyer for Yussuf Munyakazi, who was found guilty on July 1 by the United Nations-backed tribunal of genocide and extermination as a crime against humanity. As many as 800,000 people, more than a 10th of Rwanda’s population, died in a 100-day slaughter of minority Tutsis and moderate Hutus by ethnic-Hutu militias in 1994.
Police are investigating Mwaikusa’s death, Amoussouga said.

“The police are putting in extra resources because he was a leading professor of law in Tanzania and very, very effective,” Amoussouga said. “It’s sad because he was a great man.”

Mwaikusa was a professor of law at the University of Dar es Salaam, according to statement on its website.
--Editors: Paul Richardson, Antony Sguazzin.

To contact the reporter on this story: Sarah McGregor in Nairobi at smcgregor5@bloomberg.net.
To contact the editor responsible for this story: Antony Sguazzin in Johannesburg at asguazzin@bloomberg.net.


MY TAKE
Suprizingly his stand on private candidacy was left aside! there is too much skipped


Tanzanian Lawyer Who Defended Rwanda Genocide Suspect Is Killed - BusinessWeek
 
Huu tena sio ujambazi bali ni staili ya kimafia ya Tanzania kwani sio hao waalimu tu bali hata yule journalist ambae alikuwa anaandika column kwenye East African naye aliuawa kwa stili hii hii pale Kimara!! Mpaka sasa hatima ya hao waliomuua haijulikani ; they just add to the statistics of murdered Tanzanians!!

Sijui kama ni sawa? Yule Mike Okema (or something like that) aliyekuwa akiandikia East African alikuwa alikwenda kutoa msaada nyumba ya jirani mwanamke aliyekuwa ameingiliwa na majambazi ndipo mauti yakamkuta huko huko. Pia tuliambiwa kuwa mke wake alimsihi sana asitoke lakini akaona ni wajibu wake kama jirani kutoa msaada kwa jirani mwingine in distress.
 
Tumeingiliwa wajameni!!!
hivi JF moderators, hii mumeiacha hapa kwasababu gani hasa?
mambo yakuondoa ndio haya if you didnt know!!
HEADING: Wrong
MASSAGE: Rubish
 
Back
Top Bottom