Wakili Musa Rajabu Mfinanga afariki dunia baada ya kupata Changamoto ya Upumuaji

Wakili Musa Rajabu Mfinanga afariki dunia baada ya kupata Changamoto ya Upumuaji

Hii tunayoiita changamoto ya upumuaji badala ya kuiiita Corona tusipokubali na kujikinga tutaangamia kwa sababu tumekubali kumwachia mtu mmoja afanye anavyojua yeye tuu.Cjui anasubuli Watz wangapi wafe kwa corona ndo akubari kuchukua measures.
Nakubaliana na wewe kwa asilimia mia moja kwani hata mimi naona tunakosea sana kutumia hili neno.
 
Hii tunayoiita changamoto ya upumuaji badala ya kuiiita Corona tusipokubali na kujikinga tutaangamia kwa sababu tumekubali kumwachia mtu mmoja afanye anavyojua yeye tuu.Cjui anasubuli Watz wangapi wafe kwa corona ndo akubari kuchukua measures.
Wataanza kuita jina la corona siku ile itakapopiga mahali penyewe. Siku hiyo inakuja hivi karibuni.
 
Hii tunayoiita changamoto ya upumuaji badala ya kuiiita Corona tusipokubali na kujikinga tutaangamia kwa sababu tumekubali kumwachia mtu mmoja afanye anavyojua yeye tuu.Cjui anasubuli Watz wangapi wafe kwa corona ndo akubari kuchukua measures.
Atachukua 'measures' zipi tena mkuu, aseme kuna korona? Labda afungulie vyombo vya habari vitoe taarifa hiyo bila woga.
Mbona watu tayari wanajua, kilichobaki tu ni woga.

Sasa hivi woga mkubwa uko kwake. Watu wanaogopa kusema chochote au kufanya chochote kinyume na alichokwishakataza.

Lakini aibu/kiburi kinamzuia kukiri makosa kwa kutangaza vinginevyo. Bila shaka "chawa" wake wapo busy sana wakati huu kutafuta njia itakayo mkingia aibu, huku wakitangaza hatari ya korona na kujikinga dhidi yake.

Woga wa pili walionao wananchi, ambao bado haujafikia walionao juu ya huo wa kumwogopa Magufuli ni hiyo corona yenyewe. Subiri kidogo, muda si muda huu woga wa corona utapanda sana na watu wataanza kuudharau ule walionao juu ya mtawala. Hapo ndipo utakapoona mabadiliko makubwa.
 
Baada ya kimya cha siku mbili tatu naona mlikuwa mnasubiri kwa hamu mlete habari kama hii!
 
Hii tunayoiita changamoto ya upumuaji badala ya kuiiita Corona tusipokubali na kujikinga tutaangamia kwa sababu tumekubali kumwachia mtu mmoja afanye anavyojua yeye tuu.Cjui anasubuli Watz wangapi wafe kwa corona ndo akubari kuchukua measures.
Vita ya maji maji"sema maji na risasi itageuka kuwa maji"
 
Naiona Italy ikihamia Tanzania, ile Italy ya Corona. Naomba Mungu isiwe hivyo. Leo tu ndugu wawili(sio wa damu) wametangulia.
 
Mi nafikiri ungefunguliwa uzi wa measures zinatotakiwa zichukuliwe na kutangazwa na sirikali ili kusudi watanzania wazifuate.

Kuna watu wanalalamika sirikali ichukue hatua wakati ukimuuliza huyo mtu hatua zipi unataka sirikkali ikutangazie ambazo wewe huzijui na umezuiwa kuzifuata na sirikali, hajui.

Au mnataka Lockdown ndio ionekane hatua zimechukuliwa!

Au nasema uongo ndugu zangu.
 
Back
Top Bottom