kama ime thibitishwa na daktari weka cheti cha kifo ili tuamini unacho kisema, kama huna ni bora ukakaa kimya kuliko kuandika kitu usicho kijua.
tuache tabia ya kukopi maneno uliyo yakuta twita au uliyo yasikia.
huo unaitwa uzushi.
haina maana tusijihadhari ila tusisingizie kila anaye kufa basi kafa kwa matatizo ya korona /upumuaji,
je unajuaje kama sio ukimwi? au saratani? au presha?
tusizushe mambo tusiyo yajua, kwani utapungukiwa nini haswa ukikaa kimya.
kama ni presha, ama ukimwi ama saratani ndugu zake ndio wanajua basi.
Sent using
Jamii Forums mobile app