Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
Hio ndio hali halisi mkuu.Mnatutisha
Nakubaliana na wewe kwa asilimia mia moja kwani hata mimi naona tunakosea sana kutumia hili neno.Hii tunayoiita changamoto ya upumuaji badala ya kuiiita Corona tusipokubali na kujikinga tutaangamia kwa sababu tumekubali kumwachia mtu mmoja afanye anavyojua yeye tuu.Cjui anasubuli Watz wangapi wafe kwa corona ndo akubari kuchukua measures.
It is Corona!!!! A naked fact. Uphold preventive scientific measures.Nakubaliana na wewe kwa asilimia mia moja kwani hata mimi naona tunakosea sana kutumia hili neno.
Ila Wabongo huku mitaani tunajiachia kama vile hakuna kabisa huu ugonjwa .It is Corona!!!! A naked fact. Uphold preventive scientific measures.
Wataanza kuita jina la corona siku ile itakapopiga mahali penyewe. Siku hiyo inakuja hivi karibuni.Hii tunayoiita changamoto ya upumuaji badala ya kuiiita Corona tusipokubali na kujikinga tutaangamia kwa sababu tumekubali kumwachia mtu mmoja afanye anavyojua yeye tuu.Cjui anasubuli Watz wangapi wafe kwa corona ndo akubari kuchukua measures.
Atachukua 'measures' zipi tena mkuu, aseme kuna korona? Labda afungulie vyombo vya habari vitoe taarifa hiyo bila woga.Hii tunayoiita changamoto ya upumuaji badala ya kuiiita Corona tusipokubali na kujikinga tutaangamia kwa sababu tumekubali kumwachia mtu mmoja afanye anavyojua yeye tuu.Cjui anasubuli Watz wangapi wafe kwa corona ndo akubari kuchukua measures.
Vita ya maji maji"sema maji na risasi itageuka kuwa maji"Hii tunayoiita changamoto ya upumuaji badala ya kuiiita Corona tusipokubali na kujikinga tutaangamia kwa sababu tumekubali kumwachia mtu mmoja afanye anavyojua yeye tuu.Cjui anasubuli Watz wangapi wafe kwa corona ndo akubari kuchukua measures.