Wakili Musa Rajabu Mfinanga afariki dunia baada ya kupata Changamoto ya Upumuaji

Umejibu nilichouliza au unajibu ulichokariri?Yaani unaleta story za WAJIBU kwenye ishu ambazo akili yako inakuambia ni HATARI?Njia zote za kujikinga unazijua, kwanini USIZIFUATE?
 
kama ime thibitishwa na daktari weka cheti cha kifo ili tuamini unacho kisema, kama huna ni bora ukakaa kimya kuliko kuandika kitu usicho kijua.

tuache tabia ya kukopi maneno uliyo yakuta twita au uliyo yasikia.
huo unaitwa uzushi.

haina maana tusijihadhari ila tusisingizie kila anaye kufa basi kafa kwa matatizo ya korona /upumuaji,

je unajuaje kama sio ukimwi? au saratani? au presha?

tusizushe mambo tusiyo yajua, kwani utapungukiwa nini haswa ukikaa kimya.

kama ni presha, ama ukimwi ama saratani ndugu zake ndio wanajua basi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Zamu yako haiko mbali, we endelea tu kupuuza haya mambo na kuleta propaganda.
 
Haisaidii kivipi wakati unaweza kuwaambia watoto wako hakuna kutoka nje, vaeni barakoa. ..
Hii vita haiishii kwenye kuvaa barakoa tu Jombaa, tena kwa takwa la baba wa familia.

Hata kama ni wajibu wa kila mtu na familia yake kuchukua individual efforts, ninachosema ni kwamba lazima Serikali itoke na kauli thahiti na guidelines za kufuatwa kwenye sehemu kama mashuleni, kwenye magari ya kubeba watoto nk

Tukiachwa hivi, yes, unaweza kumwambia mwanao avae barakoa ila akifika shuleni anakutana na mwalimu ambae havai wala shuleni hakuna miundombinu ya kunawa mikono kwa kuwa hakuna guideline wala means za kuenforce hizi directives

Kuna tararibu stahiki za kupambana na magonjwa ya milipuko, led by the Government na ndicho tunachokisema kifanyike hapa
 
Mkuu Unafikir kungekua na HATARI unayoiona Huko mashuleni hadi leo tungekua hatupati report za hatari kutoka kwa watoto wetu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…