Wakili Mwabukusi ajitosa sakata la Yanga na bodi ya ligi

Hiyo lahaja ni ya kwao. Ndiyo maana wengine wanaandika "swala" na wengine huandika "suala".

Mbona wewe umeshindwa kuandika "mbobevu* badala yake ukaandika "mbebevu"?

Jibu hoja zake!
Acha utetezi wa kijinga ndio uandishi gani huo wa rais wa taasisi km TLS? Acheni kutetea ujinga, rais wa TLS unaandikaje hivyo? Ndio maana nikahisi alieandika sio yeye km ni yeye itabidi akaguliwe vizuri anatumia kinywaji gani akishika simu
 
Issue sio hoja issue uandishi anaandikaje km TOJO Zamwamwa?
Achana na uandishi. Hoja zake umezielewa? Maana ana hoja zimeshiba haswaa!

CAS mnakwenda kuishitaki Bodi ya Ligi lakini lengo lenu mpewe point za mchezo kutoka Simba, itawezekana?

Kauliza mnayo ripoti ya mwamuzi kwamba Simba haikufika uwanjani siku ya mechi? Pia anahoji kama mnayo pia ripoti ya Kamisaa wa mchezo?

Kauliza nyie shauri lenu litabebwa na "facts" zipi?

Ameuliza vielelezo (attachments) mtakavyoambatisha kwenye Hilo shauri lenu, vitakuwa na vitu Gani?
 
Kule juu anasema CAS chini anasema CAF hivi huyu kichwani zimo kweli, alikunywa kinywaji gani wakati anaandika alichokiandika? Siku nyingine mwambieni akinywa azime simu asiandike chochote mtandaoni akiwa amelewa ataboronga
Huyu ni Mnyakyusa aliyekulia Arusha Ngarenaro
 
Ukisoma juu soma na chini usikurupuke wewe huoni au?
 
Ukisoma juu soma na chini usikurupuke wewe huoni au?
Nisome nini tena? Sijakurupuka Bali nimejitahidi ku - paraphrase andiko la Mwabukusi. Unahisi Kuna kitu umeandika/ameandika sijakisoma?
 
Nisome nini tena? Sijakurupuka Bali nimejitahidi ku - paraphrase andiko la Mwabukusi. Unahisi Kuna kitu umeandika/ameandika sijakisoma?
CAS na CAF wapi na wapi? Yanga imeenda kushtaki CAF au CAS? Unajua kusoma lakini? Nisije nikawa napoteza muda na mtu asiejua kusoma soma alichoandika huyo unaesema ana hoja ndio unijibu usikurupuke
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…