Tate Mkuu
JF-Expert Member
- Jan 24, 2019
- 46,405
- 138,158
Kitendo cha huu mjadala kuendelea kujadiliwa kwa siku kadhaa sasa, ni ushahidi tosha kuna makosa yalifanyika! Na waliofanya hayo makosa hawataki kukiri hadharani! Badala yake kila wanapojitokeza kutaka kujitetea, ndiyo kwanza wanazidi kuharibu.