Uyo Mwabukusi naye apelekwe veta haraka, Yanga anakwenda kuishtaki bodi ya ligi kwa kukiuka kanuni.
Hakukua na tukio lolote la ukosefu wa usalama kwa mujibu wa polisi wala Takukuru hawakupelekewa taarifa yoyote ya kiashiria cha rushwa kama sababu zilizo tolewa na bodi ili mchezo usiweze kufanyika siku ya pili yake.
Bodi inakwenda kujibu tuhuma kama mshtakiwa mahakamani.
Kwa ujumla hakukua na Tishio lolote la ki usalama la kupelekea mchezo kutochezwa.
Yanga inaishtaki bodi kwakua upo uwezekano wa bodi na klabu ya Simba kupanga njama mchezo usichezwe kwa tarehe husika.
Bodi ikionekana ilikosea kwa kutofuata kanuni ita takiwa Yanga ipewe haki yake kwa mujibu wa kanuni mlizo jiwekea na apo ndipo Yanga ata pata point zake na bodi ita shinikizwa kufuata kanuni zake kwa makosa iliyo yafanya.
Bodi na Simba watajuana wenyewe kwakua CAS itachukulia ni njama za pamoja zilizo fanywa kati ya Bodi na Simba.