Wakili Mwabukusi ajitosa sakata la Yanga na bodi ya ligi

Kisheria hutokea mara nyingi tu. Mfano magari ya abiria (mabasi) yalikuwa yamekatazwa kutembea usiku na Serikali. Lakini Serikali hiyo hiyo Sasa imeyaruhusu kutembea tena usiku.

Jee bodi ya ligi haina mamlaka ya kuahirisha mechi? Na Kuna kanuni imekiukwa kwa bodi ya ligi kuiahirisha ile mechi?
tofautisha kati ya kubadilisha kanuni na kukiuka kanuni.
 
Uyo Mwabukusi naye apelekwe veta haraka, Yanga anakwenda kuishtaki bodi ya ligi kwa kukiuka kanuni.

Hakukua na tukio lolote la ukosefu wa usalama kwa mujibu wa polisi wala Takukuru hawakupelekewa taarifa yoyote ya kiashiria cha rushwa kama sababu zilizo tolewa na bodi ili mchezo usiweze kufanyika siku ya pili yake.
Bodi inakwenda kujibu tuhuma kama mshtakiwa mahakamani.
Kwa ujumla hakukua na Tishio lolote la ki usalama la kupelekea mchezo kutochezwa.

Yanga inaishtaki bodi kwakua upo uwezekano wa bodi na klabu ya Simba kupanga njama mchezo usichezwe kwa tarehe husika.

Bodi ikionekana ilikosea kwa kutofuata kanuni ita takiwa Yanga ipewe haki yake kwa mujibu wa kanuni mlizo jiwekea na apo ndipo Yanga ata pata point zake na bodi ita shinikizwa kufuata kanuni zake kwa makosa iliyo yafanya.

Bodi na Simba watajuana wenyewe kwakua CAS itachukulia ni njama za pamoja zilizo fanywa kati ya Bodi na Simba.
 
Nafikiri Kuna vitu huvijui,Kuna siku utaelewa ukitaka
 
Uu ni mjadala wa wazi kama kuna vitu sivijui ni juze.
Maelezo yako hayana mantiki.

Lazima mpate kwanza mantiki kwenye hoja za Yanga ndipo mseme Ina haki. Kwa mfano mnaposema Yanga ipewe point 3 Ina maana Simba inyang'anywe pointi 3. KWA NINI?

Yaani simba imefanya kosa gani la kikanuni linalostahili wao kupokwa pointi 3?
 
tofautisha kati ya kubadilisha kanuni na kukiuka kanuni.
Nilikuwa nazungumzia bodi kusema mchezo upo na baadae ikaahirisha ule mchezo. Soma ulichoandika na ndicho nilichokujibu.

Msichokielewa ni kwamba Simba haiwezi kuadhibiwa kunyang'anywa pointi kwa "makosa" yaliyofanywa na bodi ya ligi.
 
Wakili msomi Boniphace Mwabukusi amelizungumzia suala la Yanga kisheria.

View attachment 3276571
Huyu ni mbobevu kwenye haya mambo ya kisheria.
Sidhani kama homeboy anaweza kujiingiza kwenye upupu kama huu. Halafu moja ya watu wanaozingatia sarufi za uandishi ni hao mawakili. Kuna mwehu tu kaamua kupita na upepo wa Boni ili kuipa nguvu post yake.
 
Huku mambo yanakwenda yanavyokwenda. Usiriasi upo kwa wale watu wanaokwenda VETA
 
Kwenye mambo ya kisheria kuna vitu hurekebishika vingine huwa havirekebishiki.

Kimantiki Kwa kuwa Yanga wamesema wanakwenda CAS hayo ya kuandika CAF ni mtelezo wa kimantiki usioathiri mtiririko wa hoja zake.

Jibu hoja za Mwabukusi.
Ivi mkuu hata wewe ulichokiandika unakielewa?
Halafu kwanini usirudishe hii mada mkaendelea kuijadili uko facebook kwa wenye akili kama zako.?
 
Kwenye barua ya Yanga kwenda CAS kuna sehemu yoyote wamedai kupewa point za bure au wewe na huyo Mwabukusi feki akil zenu zipo chooni? Haya tuonyeshe barua ya Yanga kwenda huko CAS ikidai point 3 za bure ili tukuone na huyo mwenzako mna akili timamu kabla hatujawata mbumbumbu
 
Soma mjadala mzima...😄😆😀
 
Hiyo lahaja ni ya kwao. Ndiyo maana wengine wanaandika "swala" na wengine huandika "suala".

Mbona wewe umeshindwa kuandika "mbobevu* badala yake ukaandika "mbebevu"?

Jibu hoja zake!
Akishakuwa Mbobevu hatakiwi kuwa na rahaja za kwao mkuu. Hapo hoja yake ni ipi hasa?
 
Back
Top Bottom