Wakili Mwabukusi ajitosa sakata la Yanga na bodi ya ligi

Wakili Mwabukusi ajitosa sakata la Yanga na bodi ya ligi

Ripoti ya Afisa wa usalama wa mechi (ambaye ni Polisi) inawezekana ilionesha tishio la muendelezo wa tukio la usiku ule kuwa kubwa zaidi wakati wa mechi.
😂😂Matapishi haya... Kwahiyo hapa polis waliona kuna tishio la vurugu.... Na wamechukua hatua gani? Yaani kuna kuwa na tukio la uvunjifu wa amani arafu hakuna anahusishwa na uvunjifu huo?.

Bodi ya ligi wameshanyooka, mzee mguto kaufya huko anaomba swala liishe kibusara😂😂.
 
Kwahiyo sheria inamkataza yanga kuishitaki Bodi ya ligi iliyoshirikiana na simba kuhairishwa mechi?.
Hoja yangu inawezekanaje kuthibitisha kuwa bodi ya ligi ilishirikiana na Simba kuahirisha ile mechi?
 
Facts wanatakiwa wawe nazo Yanga. Yeye kwenye "preliminary stage" amekaguq muelekeo wa madai ya Yanga akaona hayabebi uzito unaostahili kushinda shauri lao.
Punguza ujinga 😂 yeye facts zake nikuwa yanga hawana hoja?. Nyie ni viazi asee!.
1.sababu za kuahirishwa mechi
2.taarifa ya kuahirishwa kwa mechi
3.utratibu/kanuni za kuahirishwa mechi zipoje?.
 
Hoja yangu inawezekanaje kuthibitisha kuwa bodi ya ligi ilishirikiana na Simba kuahirisha ile mechi?
1.Bodi ya ligi haina hoja za kisheria zilizopelekea kuahirishwa kea mechi husika,
2.simba hana hoja za msingi za kisheria za mechi kuahirishwa!!.
 
1.Bodi ya ligi haina hoja za kisheria zilizopelekea kuahirishwa kea mechi husika,
2.simba hana hoja za msingi za kisheria za mechi kuahirishwa!!.
Here I rest my case broda.

😃😄😀😆
 
Mbona umekuwa mdgo kama piriton!!. Unakuja na mambo ya kijinga kwenye facts za kisheria asee!!
Nimeona unai - personalize hii issue. Mwabukusi ana hoja tena za kisheria naona wewe unataka badala ya kujibu hoja unaanzisha malumbano yanayotutoa kwenye mjadala na kutuingiza kwenye zogo.

Huwa sipendi mambo ya zogo.
 
😂😂Hebu toa hoja zake 2 alizotoa kwenye hilo bandiko!! Hoja za kisheria zisizoonekana?.
 
😂😂Hebu toa hoja zake 2 alizotoa kwenye hilo bandiko!! Hoja za kisheria zisizoonekana?.
Kwanza shauri (kesi) daima huwa na lengo. Kwa hoja za Mwabukusi lengo la Yanga ni kupata pointi 3 kwa hoja kuwa mechi iliahirishwa kinyume cha kanuni za ligi.

Sasa hoja ya kwanza ya Mwabukusi ni kwamba kama inayoshtakiwa ni bodi ya ligi, Yanga watapataje pointi 3 kwa mechi ambayo haikuchezwa?

Lakini hoja nyingine ili timu ipewe Pointi 3 si lazima kuwe na kanuni inayotamka hizo pointi 3 zinatolewaje?

Kama pointi 3 ni kwa kuwa mechi iliahirishwa, basi ripoti ya mwamuzi wa huo mchezo na Kamisaa ipo?

Huko CAS vielelezo ndivyo vitakavyoisaidia Yanga kushinda. Je Yanga Ina hivyo vielelezo?
 
  • Kicheko
Reactions: Exy
Anajivunjia heshima tu; je amesoma hati ya malalamiko yaliyopelekwa?

Yanga wanalalamikia ukiukwaji wa kanuni. Bodi haiwezi kuagiza kuwa mchezo uko pale pale baada ya mpinzani kutangaza kuwa amegomea mechi, halafu yakiwa yamebaki masaa manne tu bodi hiyo inabadilisha msimamo na kuahirisha mchezo bila sababu yoyote ya kikanuni. Matokeo ya kufanya hivyo wamesababisha hasara kwa Yanga pamoja na wafadhaili . Barua zenye ushahidi zipo.
 
Kwanza shauri (kesi) daima huwa na lengo. Kwa hoja za Mwabukusi lengo la Yanga ni kupata pointi 3 kwa hoja kuwa mechi iliahirishwa kinyume cha kanuni za ligi.

Sasa hoja ya kwanza Mwabukusi ni kwamba kama inayoshtakiwa ni bodi ya ligi, Yanga watapataje pointi 3 kwa mechi ambayo haikuchezwa?

Lakini hoja nyingine ili timu ipewe Pointi 3 si lazima kuwe na kanuni inayotamka hizo pointi 3 zinatolewaje?

Kama pointi 3 ni kwa kuwa mechi iliahirishwa, basi ripoti ya mwamuzi wa huo mchezo na Kamisaa ipo?

Huko CAS vielelezo ndivyo vitakavyoisaidia Yanga kushinda. Je Yanga Ina hivyo vielelezo?
😂😂😂Dah... Kwamba Bodi ya ligi haziwezi kupanga matokeo na simba?, Au hujawahi sikia case kama hizo?. Wafanyakazi wa Bodi ya ligi wanahusika na maamzi yasiyo ya kisheria ya kuahirishwa kwa mechi!!

Kanuni za Bodi ya ligi zipo wazi zinaeleza namna mechi inahairishwa, je Bodi walifuata huo utaratibu wa kisheria?, Ni muda gani mechi kikanuni inapaswa kuahirishwa?.
Wewe unawezaje au yeye anajuaje kama yanga hawana ushahidi wa mada hayo?.
 
Bodi haiwezi kuagiza kuwa mchezo uko pale pale baada ya mpinzani kutangaza kuwa amegomea mechi, halafu yakiwa yamebaki masaa manne tu bodi hiyo inabadilisha masimamo na kuahirisha mchezo bila sababu yoyote
Kisheria hutokea mara nyingi tu. Mfano magari ya abiria (mabasi) yalikuwa yamekatazwa kutembea usiku na Serikali. Lakini Serikali hiyo hiyo Sasa imeyaruhusu kutembea tena usiku.

Jee bodi ya ligi haina mamlaka ya kuahirisha mechi? Na Kuna kanuni imekiukwa kwa bodi ya ligi kuiahirisha ile mechi?
 
Uzuri swala lipo kwq watu weupe hakuna uswahiliswahili.... Atakayelojeka ameliwa... Tunatka msimaria karia na wapuuzi wake wa Bodi ya ligi watage mbwa hao.
 
Uzuri swala lipo kwq watu weupe hakuna uswahiliswahili.... Atakayelojeka ameliwa... Tunatka msimaria karia na wapuuzi wake wa Bodi ya ligi watage mbwa hao.
Hiki ulichoandika kina makosa mengi Sana kama lile bandiko la Mwabukusi.
 
Back
Top Bottom