Wakili Mwabukusi: Aliyesababisha Binti wa Yombo Kubakwa na Kulawitiwa naye Afikishwe Mahakamani

Heparin

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2021
Posts
242
Reaction score
1,141

Fuatilia yatakayojiri kwenye mkutano wa Rais wa TLS, Boniface Mwabukusi kwenye mkutano wake na waandishi wa habari, leo saa 4:00 asubuhi.

Mwabukusi anazunguzia suala la wamasai kuondolewa kwenye eneo lao kwa nguvu, na serikali imeondoa huduma zote za msingi kwao kama watanzania halali wa nchi hii. Kwa mujibu wa sheria, watu hawa wanapaswa kuondolewa kwa hiari baada ya kuridhiana namamlaka.

TLS inatoa rai kwa serikali kuonesha nia yake ya dhati kwa kurudisha huduma zote za kijamii kwa wananchi wa ngorongoro kwani ni haki yao ya msingi, pia viyuo vya kupigia kura virudishwe ili washiriki zoezi la uchaguzi wa Serikali za mitaa na uchaguzi mkuu.

Baraza la uongozi TLS limeona sakata hili linahitaji ufuatiliaji wa kina, hivyo limeunda kamati maalumu ya kufuatilia kwa ukaribu, itaongozwa na Dky. Rugemeleza Nshala.

Aidha, TLS imeona tangazo la Waziri wa TAMISEMI kufuta vijiji vya Ngorongoro, na hakuna kifungu chochote cha Sheria kinachompa Waziri mamlaka ya kufuta vijiji. Waziri atoke asema sheria hiyo ilitungwa lini na wapi.

TLS itakaa tena kujadili pamoja na kukutana na Serikali kwa nia njema kuona namna ya kumaliza sintofahamu hii.

Mwabukusi ametoa msimamo wa TLS kulipongeza Jeshi la Polisi kwa kumchukulia hatua RPC wa Dodoma kwa kuonesha dharau, ametoa wito kwa Wizara kuimarisha madawati ya kijinsia ili kushughulikia masuala haya kikamilifu. Pia TLS inapongeza hatua za kufikishwa mahakamani kwa vijana waliohusika, lakini inataka aliyewatuma pia afikishwe mahakamani na chama kitapeleka mahakamani wakili wake ili kufuatilia kwa ukaribu kinachoendelea huko.

Kuhusu kadhia iliyotokea kwenye maadhimisho ya siku ya vijana iliyopaswa kufanyika Mbeya ambapo viongozi na wanachama wa CHADEMA walikamatwa na kuumizwa, Baraza la Uongozi wa TLS limeamua kuwafungulia mashtaka wahusika kutoka jeshi la Polisi kwa majina yao ili wawajibishwe kwa mujibu wa sheria.
 
Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) Wakili Boniface Mwabukusi, amesema pamoja na Polisi kuwafikisha Mahakamani watuhumiwa wa Ukatili wa Kingono dhidi ya 'Binti wa Yombo', Baraza la Uongozi la TLS linataka aliyesababisha kufanyika vitendo hivyo naye awajibishwe.

Akizungumza leo Agosti 20, 2024, Wakili Mwabukusi amesema "Ni wito wetu kwa Jeshi la Polisi na Wizara yenye dhamana waimarishe Madawati ya Jinsia ili yashughulikie changamoto za Ukatili, yasiwe madawati jina. Lakini tunataka na aliyesababisha kitendo kile kufanyika naye ni mkosaji, afikishwe Mahakamani mara moja"

Soma Pia:

Kuna raisi wa chama cha wanasheria wa wa uswazi tpaul anasema hakuna haja kwa sababu sio kosa kutuma mtu kufanya uhalifu. Halafu nyuzi yake jf wanaitazama tu.
 
Sio kosa kumtuma mtu kufanya uhalifu?
Doh masikini Tanzania yangu😔😔😔
 
Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) Wakili Boniface Mwabukusi, amesema pamoja na Polisi kuwafikisha Mahakamani watuhumiwa wa Ukatili wa Kingono dhidi ya 'Binti wa Yombo', Baraza la Uongozi la TLS linataka aliyesababisha kufanyika vitendo hivyo naye awajibishwe.

Akizungumza leo Agosti 20, 2024, Wakili Mwabukusi amesema "Ni wito wetu kwa Jeshi la Polisi na Wizara yenye dhamana waimarishe Madawati ya Jinsia ili yashughulikie changamoto za Ukatili, yasiwe madawati jina. Lakini tunataka na aliyesababisha kitendo kile kufanyika naye ni mkosaji, afikishwe Mahakamani mara moja"

Soma Pia:

Pia kazungumzia wao wanafanya siasa ya Sheria,pia katolewa ufanunuzi wa mihemko ,kasema waziri hana mamlaka ya kuwafukuza wazawa kwenye eneo la kuzaliwa kwa mujibu wa kifungu Cha Sheria number 4Na haki ya kuandamana .nk
 
Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) Wakili Boniface Mwabukusi, amesema pamoja na Polisi kuwafikisha Mahakamani watuhumiwa wa Ukatili wa Kingono dhidi ya 'Binti wa Yombo', Baraza la Uongozi la TLS linataka aliyesababisha kufanyika vitendo hivyo naye awajibishwe.

Akizungumza leo Agosti 20, 2024, Wakili Mwabukusi amesema "Ni wito wetu kwa Jeshi la Polisi na Wizara yenye dhamana waimarishe Madawati ya Jinsia ili yashughulikie changamoto za Ukatili, yasiwe madawati jina. Lakini tunataka na aliyesababisha kitendo kile kufanyika naye ni mkosaji, afikishwe Mahakamani mara moja"

Soma Pia:

Yupo sahihi.
 
Fuatilia yatakayojiri kwenye mkutano wa Rais wa TLS, Boniface Mwabukusi kwenye mkutano wake na waandishi wa habari, leo saa 4:00 asubuhi.

Mwabukusi anazunguzia suala la wamasai kuondolewa kwenye eneo lao kwa nguvu, na serikali imeondoa huduma zote za msingi kwao kama watanzania halali wa nchi hii. Kwa mujibu wa sheria, watu hawa wanapaswa kuondolewa kwa hiari baada ya kuridhiana namamlaka.

TLS inatoa rai kwa serikali kuonesha nia yake ya dhati kwa kurudisha huduma zote za kijamii kwa wananchi wa ngorongoro kwani ni haki yao ya msingi, pia viyuo vya kupigia kura virudishwe ili washiriki zoezi la uchaguzi wa Serikali za mitaa na uchaguzi mkuu.

Baraza la uongozi TLS limeona sakata hili linahitaji ufuatiliaji wa kina, hivyo limeunda kamati maalumu ya kufuatilia kwa ukaribu, itaongozwa na Dky. Rugemeleza Nshala.

Aidha, TLS imeona tangazo la Waziri wa TAMISEMI kufuta vijiji vya Ngorongoro, na hakuna kifungu chochote cha Sheria kinachompa Waziri mamlaka ya kufuta vijiji. Waziri atoke asema sheria hiyo ilitungwa lini na wapi.

TLS itakaa tena kujadili pamoja na kukutana na Serikali kwa nia njema kuona namna ya kumaliza sintofahamu hii.

Mwabukusi ametoa msimamo wa TLS kulipongeza Jeshi la Polisi kwa kumchukulia hatua RPC wa Dodoma kwa kuonesha dharau, ametoa wito kwa Wizara kuimarisha madawati ya kijinsia ili kushughulikia masuala haya kikamilifu. Pia TLS inapongeza hatua za kufikishwa mahakamani kwa vijana waliohusika, lakini inataka aliyewatuma pia afikishwe mahakamani na chama kitapeleka mahakamani wakili wake ili kufuatilia kwa ukaribu kinachoendelea huko.

Kuhusu kadhia iliyotokea kwenye maadhimisho ya siku ya vijana iliyopaswa kufanyika Mbeya ambapo viongozi na wanachama wa CHADEMA walikamatwa na kuumizwa, Baraza la Uongozi wa TLS limeamua kuwafungulia mashtaka wahusika kutoka jeshi la Polisi kwa majina yao ili wawajibishwe kwa mujibu wa sheria.

Ni sahihi Ili haki itendeke
 
Back
Top Bottom