Wakili Mwabukusi: Bunge halitakiwi kukwepa hoja ya utekaji

Watashughulika nae vilivyo.
Hizi ni ishara za kutapatapa. Maji yame wafika shingoni, sasa mnaropoka tu kama vichaa

"Watashughulika nae vilivyo". Nani hao, polisi? Kuna siku yenu mtashughulikiwa vilivyo na wananchi wenyewe.
 
Wanambeya wajitathimini kama Tulia bado anatosha kwao.
Hakuna cha "kujitathimini" chochote kuachana na taka taka kama huyo spika. Kinacho takiwa hapo ni kutoruhusu kura zao zichafuliwe na kulazimisha huo uchafu uendelee kubaki Bungeni.
 
Kwa hizi chaguzi kiinimacho, watapatikana wawakilishi fake wa wananchi kwa sana.
Nina imani kubwa, safari hii tutapata jibu kwa tofauti yetu hii.
Endapo mambo yatabaki kuwa vile vile yalivyo siku zote, nihesabu kuwa kati ya walio jiunga upya upande unao utetea wewe. Nitajiunga huko kwa heshima kubwa.
 
Mmewaponza wenzenu kama Sa8 na Deus Soka,familia zao zinateseka nyie mnajidai kubweka kinafiki na hakuna radical decision mnayochukua
Poor you.stupid
Sio viongozi tuu, ona hii akili sasa inavyofikiria na wako wengi sana, safari ni ndefu
 
Ni kweli Bunge halitakiwi kukwepa hii issue ya utekaji lakini ndio hivyo Spika wa Bunge Tulia Ackson ameikwepa kwa maslahi yake chama na serikali.
 
Sawa dada nimekusoma.
 
Hizi ni ishara za kutapatapa. Maji yame wafika shingoni, sasa mnaropoka tu kama vichaa

"Watashughulika nae vilivyo". Nani hao, polisi? Kuna siku yenu mtashughulikiwa vilivyo na wananchi wenyewe.
Spika yupo sahihi kutaka utaratibu ufuatwe, mauaji hayajaanza leo wala jana hapa Tanzania.
 
Kiukweli hili bunge linaongozwa na majuha.kwa nini kwenye baadhi ya mikataba yao ya kijinga Huwa wanaitisha hati ya dharura lakini kwenye utekaji wa kuua watanzania hawataki kupitisha dharura ili kuijadili na kutoa maazimio?.Mfano mkataba wa gesi ya mtwara uliitishwa Kwa dharura na wananchi hatukushirikishwa lakini hii ya kuteka watu wanajifanya utaratibu.Hawa watekaji wateke na ndugu wa viongozi ili akili ziwakae vizuri
 
Kuna bunge pale???
 
Sijui siku mtoto wa kiongozi akitekwa sijui wataendelea kukaa kumya au?
 
Very learned Man ------------- Esc Mwabukusi!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Punguza hasira, kutekwa wanatekwa wanasiasa wa USA na UK mahali penye usalama wa hali ya juu kuliko huku Afrika.

Bunge linao utendaji kazi wake halipelekeshwi na maoni ya mitandaoni,
 
Spika yupo sahihi kutaka utaratibu ufuatwe, mauaji hayajaanza leo wala jana hapa Tanzania.
Watu wanatekwa, wanapoteza maisha, kuna utaratibu gani huo unaoshinda maisha ya binaadam wengine. Tena wahusika hasa wakiwa ni hao hao wanaohimiza "utaratibu ufuatwe"? Ili iweje, watu wengi zaidi wapotezwe/wauawe; au hadi hapo lengo la maovu hayo litakapo kuwa limetimia; la kuwatisha na kuwatia uoga waTanzania wasihoji wanayo yaona kutokuwa sawa?

Sasa elewa, badala ya kuwatia uoga watu kwa haya mnayoyafanya, badala yake watu watawageukia nyinyi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…