Wakili Mwabukusi: Bunge la Tanzania limekimbia majukumu yake ndio maana Bunge la Ulaya linatujadili

Wakili Mwabukusi: Bunge la Tanzania limekimbia majukumu yake ndio maana Bunge la Ulaya linatujadili

Hata waseme nn hao bunge la ulaya n kazi bure wapunguze viherehere wawaze vya kwao
Walishawaza vya kwao na wapo far better hivyo hawazuiliwi kuwaza jinsi ya kushirikiana na banana republics walahu kuzifanya zijali HAKI, UWAJIBIKAJI, UTU & UHAI
 
Back
Top Bottom