Wakili Mwabukusi, Emmanuel Masonga na Mdude Nyagali wakamatwa na Polisi Mikumi wakiwa safarini kuelekea Dar es Salaam

Wakili Mwabukusi, Emmanuel Masonga na Mdude Nyagali wakamatwa na Polisi Mikumi wakiwa safarini kuelekea Dar es Salaam

Huyu ashukuru sasa,lakini wakati wa Mwalimu Nyerere,angeozea jela,Kina Bibi Titi,kina Fundikira ,kina Kambona chamoto walikiona,na wengine wengi.Wafikiri Mwalimu angewachekea hawa,leo tusingekuwa na Tanzania hii.

Ilikuwa enzi hizo , nyakati tulizonazo ni nyingine,

Raia kiwango cha kujitambua kimeongezeka,

Wasomi wameongezeka,

Utandawazi unaonesha raia wa nchi nyingine wanavyoishi na serikali zao,

Wanaona Uhuru wa haki ya kutoa maoni,

Mfano nchi jirani ya Kenya n.k
 
Mwambie kuwa jiwe pamoja na utemi wake aliposema kuwa watoto wa kike wakijifungua wasirudi shule.

Kilichotokea kutokea kwa wadau wa haki za binadamu ni jamaa kuufyata.
 
Hawa wana hamu na mnyapara.Hivi akili sasa imewatulia,wanapata wanachopenda
Wewe unafikiri hivyo, na unataka na wengine wawe hivi, kumbe ni tofauti sana.
Watu huuliwa, sembuse kuwekwa ndani, tena kwa kutetea wanachokiamini, halafu uone "akili imewatulia, wanapata wanachopenda"
Itakuwa uelewa wako wa mambo ya namna hii ni mfinyu kwelikweli.
 
Back
Top Bottom