Akilinjema
JF-Expert Member
- Aug 9, 2016
- 11,430
- 11,813
Huyu ashukuru sasa,lakini wakati wa Mwalimu Nyerere,angeozea jela,Kina Bibi Titi,kina Fundikira ,kina Kambona chamoto walikiona,na wengine wengi.Wafikiri Mwalimu angewachekea hawa,leo tusingekuwa na Tanzania hii.
Nenda Polisi kaulize,uunganishwe nao.
Wachana na binadamu wanao ishi ili mradi kumekucha hawajui haki zao kwenye katibaRaia wanayo haki ya kuhabarishwa kwa mujibu wa Katiba.
Mwambie kuwa jiwe pamoja na utemi wake aliposema kuwa watoto wa kike wakijifungua wasirudi shule.Ilikuwa enzi hizo , nyakati tulizonazo ni nyingine,
Raia kiwango cha kujitambua kimeongezeka,
Wasomi wameongezeka,
Utandawazi unaonesha raia wa nchi nyingine wanavyoishi na serikali zao,
Wanaona Uhuru wa haki ya kutoa maoni,
Mfano nchi jirani ya Kenya n.k
Watakushangaza sana safari hii.Usifananishe Watanzania na kenya mzee.
Watanzania ni Waoga , hata usijipe moyo mkuu.
Wewe unafikiri hivyo, na unataka na wengine wawe hivi, kumbe ni tofauti sana.Hawa wana hamu na mnyapara.Hivi akili sasa imewatulia,wanapata wanachopenda
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kama ni kweli, wamechelewa sana kumkamata.
Tena huyo ni kesi ya uhaini moja kwa moja.
Peke yako mkuuWote tunapinga kuuzwa kwa bandari za Tanganyika, watukamate wote.
Umeonaeeeeeee?Peke yako mkuu