Wakili Mwabukusi: IGP hatukuogopi, upo hapo kikatiba na kisheria, ukitaka siasa vua magwanda njoo jukwaani

Kumbe huyu Mwambukusi siku zote anaongea kama Mwanasiasa na sio Mwanasheria? Hapo nimeelewa. Basi Rais Samia hana haja ya kumsikiliza!
 
Ila watanzania ni WA hovyo aisee pamoja na yote hata umeme shida,maji shida bandari ndio Kama tunavyoona ila tumetulia tuliiiii aiseee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…