inamankusweke
JF-Expert Member
- Apr 24, 2014
- 20,344
- 21,967
Kwa tz ni hivyo,sababu elimu na uelewa dunia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa tz ni hivyo,sababu elimu na uelewa dunia
Kumbe huyu Mwambukusi siku zote anaongea kama Mwanasiasa na sio Mwanasheria? Hapo nimeelewa. Basi Rais Samia hana haja ya kumsikiliza!Wakuu,
Akihojiwa na waandishi wa habari siku chache baada ya kuachiliwa na polisi kwa dhamana, wakili Mwabukusi amenukuliwa akisema."
Nataka nimwambie wazi IGP hatukuogopi, upo hapo kikatiba na kisheria, ukitaka siasa vua magwanda,toka kwenye bunduki njoo jukwaani." Hoja zetu za kisiasa anajibu kwa bunduki akiwa nyuma ya ofisi za umma, amevaa magwanda ya kiaskari? Alisema.
Aache watujibu, tunauliza maswali ya kitaaluma.
Pia amekemea Viongozi waliojigeuza miungu watu, nanukuu;
"Nchi hii kuna watu wamejigeuza miungu watu, wao na familia zao wanataka kugeuza watanganyika kama ngo'mbe wao zizini, watuswage kwenda machungani na kuturudisha muda wanaotaka. Nataka kuwaambia kama walifikiri sisi ni makondoo tumeshageuka kuwa wanambuzi wakorofi na tumeshanyanyua mkia kama ngiri na hawatatufuga tena.
Wanajificha kwenye kichaka mara waseme mapinduzi,sijui uhaini,mara waseme udini, kote huko ni kukwepa kuwajibika, sasa wanataka kupeleka sheria ya hovyo bungeni ili kujusfy IGA, na hii tunawaambia wabunge that luxury is long gone, na kwa sababu tulishaenda Mahakamani na mahakama ikasema haina uwezo wa kuingilia mambo ya bunge, hatutaenda mahakamani tena, tutatumia nguvu ya umma kuleta uwajibikaji, we will not go to court again, we do not have that time.
Ajabu,wanang'ang'ana na sisi tunaodiclose ubovu wa mkataba wanayaacha majizi na majitu yaliyolileta hapa taifa, yanakula na kutafuta vitumbua kwenye ofisi za umma, halafu unakimbizana na bonafide person ambaye anakwambia kuna shida mahali?
Kwahio ndugu zangu narudia kusema tena,IGA ni uvamizi wa taifa letu kiuchumi, bandari ni lango kwa taifa letu, bandari ni urithi tuliopewa na Mungu. Hatuwezi kuwa taifa la ubwege kiasi hiki, mbuga za wanyama tumewapa wageni, nenda kule,unaingia unaambiwa 'now you are entering the United Arab Kingdom' ndani ya nchi?
Tizama mahoteli yanayojengwa Ngorongoro pale,huku wamasai wakifurushwa kama wanyama kutoka kwenye ardhi yao,leo unataka kuniambia Mwarabu ndio ana Ikolojia ya Ngorongoro kuliko Mmasai? That is stupid aspect.
Halafu tukisema,watu wanasema wachochezi. Jamani hili taifa ni kwa ajili yetu,sisi hatujawekwa hapa kuwa watumwa na watwana wa wageni, tuna haki ya kufaidi fursa za kijamii, kiuchumi na kimaendeleo pamoja na kuzimiliki.
Kwahio, ndugu zetu mtuelewe, IGA sio nchi kwahio kuupinga haiwezi kuwa uhaini, IGA ni limkataba korokocho lililookotwa huko kizembe, watu wakafanya copy and paste wakifiri sisi ni mazuzu, tumelikataa."
[emoji3]Huyu Mama Tanzania ni Mzee wa fursa, katokea Mbeya tena.
Kina nani hao waliokaa kimya?Waliokaa KIMYA ndiyo waleta uhuru NCHI hii walivuja jasho na damu kumwondoa mzungu mweupe
Ni kweli kabisaNamuunga mkono Mwabukusi. Bila njia hiyo lazima tufanywe mafala na hawa majizi
Ataelewa tuHuu ndiyo tunaita uhuru,unachanwa live bila matusi.Hata IGP mwenyewe kama ni muelewa ataelewa.
Siku zote zipi unazozijua wewe? Samia hata asimpomsikiliza atalazimishwa atekeleze kwa nguvu ya ummaKumbe huyu Mwambukusi siku zote anaongea kama Mwanasiasa na sio Mwanasheria? Hapo nimeelewa. Basi Rais Samia hana haja ya kumsikiliza!
Reform ni CCM Kutoka madarakani,Reform unaifahamu maana yake?
Ahahahahaha! Time is a good teacher. Ngoja tusubiri tuone hiyo nguvu ya umma! Ahahahahaha!!Siku zote zipi unazozijua wewe? Samia hata asimpomsikiliza atalazimishwa atekeleze kwa nguvu ya umma
Sent using Jamii Forums mobile app
Shida ya Mwabukusi ni nini acha wivuHuyu mwabukusi naye ameona ni fursa ya kutaka kujulikana kwa mgongo wa bandari
ImpossibleReform ni CCM Kutoka madarakani,
Wala RUSHWA wanawezaje kufanya reform!!
Ndio tuamke sasaIla watanzania ni WA hovyo aisee pamoja na yote hata umeme shida,maji shida bandari ndio Kama tunavyoona ila tumetulia tuliiiii aiseee
SawaAhahahahaha! Time is a good teacher. Ngoja tusubiri tuone hiyo nguvu ya umma! Ahahahahaha!!
Chapombe mwambulukusi ndiye mwenye kuweza.Reform ni CCM Kutoka madarakani,
Wala RUSHWA wanawezaje kufanya reform!!