Hakuna mahali kaacha kutumia neno TanganyikaBaada ya kutoka Mahabusu kaacha kutumia neno Tanganyika …karudi kutumia neno Tanzania na sasa Dr Samia Suluhu Hassan anamtambua kama Rais sio Mwanamke kutoka Zanzibar
Wakufunzi wa Jela za Tanzania ni mahiri sana kuelimisha watu ndani ya muda mfupi
Mliambiwa na nani kaishiwa nguvu?au na wewe ni polisi uchwara?kawaambie wamkamate tena sasa,mbona wamemwamchia kwa dhamana kwa kosa ambalo halina dhamana,ni sheria ya wapi hio? Na bado Mdude kasema maandamano yataanzia nyumbani kwa IGP,kajipangeni upya.Jamaa atakuwa mgonjwa huyu so tuliambiwa aliishiwa nguvu akawa mnyonge mpaka wenzake wakatoa maombi ili atolewe kumnusuru na kifo...
na leo pia nmeona anazungumza na Wana kijiji kule kwny kimondo anawashauri polisi wakiwafuata wasipigane wala kugombana nao, na wakitaka kuwavalisha pingu wasibishe waende ndani nae atakuja kuwatoa …huu ndio uzalendo
Sijui huwa hawasomi au kufanya kazi kwa maelekezo kutoka juu ndio sababu?maana sheria ziko wazi kabisa.Mwongozo huu ulikiukwa sana na mamlaka husika badala ya kuufuata wakaongozwa na chuki binafsi kuwakamata hao jamaa bila kuwa na ushahidi mkononi hivyo wahusika kwa majina yao wanatakiwa kushitakiwa kwenye vyombo vya shsria, umma na Mwenye Enzi Mungu aliye Hai afanye uamuzi ulio halali na katika uwanja ulio sawa kisheria.
Kuna wakati anaongea kama wakili na kuna wakati anaongea kama mwanasiaisa kwahio angalia anazungumza kama nani muda huo.na leo pia nmeona anazungumza na Wana kijiji kule kwny kimondo anawashauri polisi wakiwafuata wasipigane wala kugombana nao, na wakitaka kuwavalisha pingu wasibishe waende ndani nae atakuja kuwatoa …huu ndio uzalendo
kaitazame kwa Malisa hiyo clip
kaacha zile za kuhamasisha watu kuvamia vitu vya Polisi na kufanya fujo
Mahabusu kusikie hivyo hivyoKuna wakati anaongea kama wakili na kuna wakati anaongea kama mwanasiaisa kwahio angalia anazungumza kama nani muda huo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wateja wake kanisa katoliki?
Kama amechochea ghasia mbona yupo nje?kwanini asihukumiwe na sheria zipo.Mahabusu kusikie hivyo hivyo
Ukiongea kama Mwanasiasa ndio uchochee ghasia?
Wewe pia kelele utakavyo sema Ccm wezi, sijui Rais hafai utaachwa , ila ukihamasisha fujo watu wanaruka na Wewe
Mdude mara ngapi anamtukana Rais na hakuna anaeshughulika nae, lete fujo ufanyiwe fujo
Kaangalie hukumu ya mahakama utawajuaWateja wake kanisa katoliki?
Labda kazi ya kudai mlungula aliowapa majambazi wa bandariMwaarabu anasubir muda tu aanze kazi
Wapi uliwahi kuona au kusikia hukumu inatolewa kabla kesi haijaisha?Kama amechochea ghasia mbona yupo nje?kwanini asihukumiwe na sheria zipo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani wana kesi gani mahakamani?mashtaka gani walisomewa?Wapi uliwahi kuona au kusikia hukumu inatolewa kabla kesi haijaisha?
Mungu ampe nguvu na ulinziMwenyezi Mungu mrehemu Mwabukusi anapigana kwaajili ya wanyonge.
anapigania watoto wake na Familia yakeMwenyezi Mungu mrehemu Mwabukusi anapigana kwaajili ya wanyonge.