GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Waache wafanye Kazi yao na kwa Taarifa yako tu isingekuwa Ushujaa wait na Kulipambania Taifa hili kwa Uweledi Wao Uliotukuka ya Amboni Tanga na MKIRU Pwani yangeleta madhara na maafa makubwa nchini kiasi kwamba hata hizo Bia unazopenda Kunywa na hizo Nyama Choma zinazokunenepesha Mashavu yako hayo kama Panya Buku wa Nangurukuru usingeweza Kuzipata kwakuwa nchi ingekuwa Imeshachafuka ( namaanisha kingekuwa Kimeshanuka ) na tunatafutana tu.
Labda tu Wakili Mwabukusi nikusaidie Kukuelekeza wa Wewe Kuwatania na Kuwapiga Mikwara yako Mbuzi ni akina Mgambo Tanzania, Polisi Taniana, K4Security, Kiwango Security, TAKUKURU, UHAMIAJI Tanzania, TISS na Ulinzi Shirikisho ila Usithubutu tena Kuwatishia Kisheria JWTZ na usisahau kuwa hata huko Kwao JWTZ pia kuna Wabobezi ( Gurus ) wa Sheria na Uwakili na huenda wana Akili, Uwezo na Ujuzi hata wa Kukuzidi Wewe.
JWTZ fanyeni Kazi yenu bila Uwoga.