Wakili Mwabukusi nakukubali sana, ila taniana na Wote lakini usitake Kuwazoea vibaya JWTZ na Usijidanganye ukaja Kujuta


Ndio wale wabobezi walituambia hili jeshi ni la 6 kwa ubora duniani??[emoji23][emoji23]
Anyway tuendelee kula bia…Tanzania comedy sana[emoji23]
 
Oyaa...sikia wewe....jeshi hili ni tofauti kabisa na majeshi mengine duniani.....hili ni jeshi la wananchi....UNLESS OTHERWISE..........limebadilishwa matumizi na kuwa vinginevyo.
 
Katika hili, JWTZ wanaonyesha kuishi tabia za Kimaumau au Kibanyamulenge na M23. Lazima waambiwe ukweli.
Hii tabia ya kuwaangalia tu ndiyo inapelekea wanajisahau kiasi cha kugeuza kambi za Jeshi kuwa kama kitu Makumbusho au Magufuli stand kwa jinsi walivyozijengea fremu...wana ushamba mwingi.
Jeshi limeundwa kwa mujubu wa sheria na majukumu yao yapo kisheria, hilo la kunyang'anya watu vitu ni ushamna na ni kufanya vitu kinyume cha sheria
 
GENTAMYCINE unaongea kama mlevi, mwenzako aliongeq kama mwanasheria huku akitoa nukuu za kisheria, dos and don'ts za mwanajeshi wa Tanzania.

Na wewe mkosoe kwa vifungu vya sheria
 
Upo period leo?
 
Mmojawapo wa uzi wa hovyo sana humu JF
 
Yeye aliongea Kama mwanasheria ili jeshi lisiumize watu kisa nguo. Yani alitoa tahadhali kabla ya maafa.
 
Jeshi kusema litaingia mtaani kuzisaka sare zao si sawa! Hiyo ni kazi ya Polisi. Tusiruhusu jeshi kuvunja sheria, Jeshi ndio tumaini la mwisho la wananchi!

Jeshi lingesema Polisi wataanza msako wa sare zao hapo wangeeleweka.
 
wakati huu ambao majeshi mengine yanakwenda hewani kwa mapinduzi na uvumbuzi na ugunduzi,JWTZ yangu ikaona ije na hoja ya nguo zao😅😅😅.

sawa ni nguo zao,lakini sioni kama kuna raia amepanga kuwagomea na kuendelea kuzivaa,semaji toka atwambie ni la 6,amekuwa wa kwenda mjini mara kwa mara,kama manara😂😂😂
 
Bila kuingilia Uhuru wako wala Uhuru wa Wakili Mwambukusi lakini kinachofanywa na JW kiko kinyume na sheria na wanayoyafanya mitaani yako kinyume na utu. Kama hujawaona wanchokifanya jipe Muda angalau uone tukio moja tu utaona kama utawasapoti.
Tunaliheshimu Jeshi letu lakini hebu liache Mambo madogo madogo kama haya ya kukamata mitumba zinazovaliwa na Wananchi si Sare za JW ni mitumba inayofanana na pengine Kwa mbali Sana na Sare za Jeshi letu.
Wanapoingia mitaani hawakamati watu na kuwapeleka mbele ya sheria kama kanuni ya adhabu inavyosema Bali wao wanawatesa Wananchi hadharani, mateso ambayo yanawaacha na maumivu makali na pengine vilema.
Tumewaona UVCCM wakishona Kwa makusudi nguo zimazofanana na Sare za Polisi, lakini utaratibu uliotumika kuzuia ulikuwa wa Kisheria zaidi. Hivi inaingia akilini mwako Mtoto wa miaka 6 kuburuzwa barabarani kisa kakutwa na kikaputura cha mtumba kinachofanana Kwa mbaaali na Sare za JW? Huyu Mtoto ataitumia Sare hiyo kumteka Nani? Atashika bunduki/mzinga au ndege Vita kushambulia kambi ya Jeshi?
Mambo kama haya kuyapa airtime ni kujipanga kazi isiyostahili kukuzwa wakati uwepo wa mitumba hiyo hauleti madhara yoyote maana sijawahi kusikia majambazi wameteka basi wakiwa wamevaa nguo za JW. Sana Sana uhalifu unafanyika Kwa kutumia nguo zào Polisi na siyo za JW na sababu inajulikana ni vile Polisi ndiyo law enforcers wa ndani na siyo JW.
 
Mbwa akikuzoea sana.......huyu nadhani kosa kubwa kuachiwa sana na ukiachiwa wakati mwingine unajiona alaaa kumbe hawana kitu naweza. Dawa ipo na wala sio mbali. Huyu wakili hajazaliwa juzi kwanini siku hizi tu kutwa anavamia kila kesi na kudharau watu kwani alikuwa wapi miaka yote? ndio ujue kuna maslahi binafsi na watu nyuma yake. Ulikuwa wapi miaka yote, mambo mangapi yalifanyika huko nyuma mbona hatukuwahi kumsikia akikemea.
 
Acha
Acha kuogopa wanaume wenzio Genta,siku ukikuta mjeda anamla mkeo si mpaka shikamoo utampa,penye ukweli acha usemwe ukweli zile enzi za kuabudu miungu watu zimekwishaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…