Mwishokambi
JF-Expert Member
- Nov 23, 2020
- 390
- 1,425
Kutokuwepo kwa Edward Hosea sio lazima iwe ni kwa sababu hicho kikao kilikuwa cha CHADEMA! There is more than one possible reason!Mtu yeyote mwenye akili anajua kikao cha marais wa zamani wa TLS cha kujadiili haki za uchaguzi ni kikao cha Chadema tu, hakuna lingine.
Kama marais wa zamani mbona wakili Edward Hossea hakuwepo?
Hakuwepo inaweza kumaanisha hakualikwa au hakuhudhuriaKama marais wa zamani mbona wakili Edward Hossea hakuwepo?
Hivi wewe ndio umeingia JF leo??? Mbona mada haina kichwa wala miguu... yaani kimsingi hueleweki... Hata kama ni mtoto wa huyo Hosea, ndio ukose akili kiasi hiki???Mtu yeyote mwenye akili anajua kikao cha marais wa zamani wa TLS cha kujadiili haki za uchaguzi ni kikao cha Chadema tu, hakuna lingine.
Kama marais wa zamani mbona wakili Edward Hossea hakuwepo?
Mtu yeyote mwenye akili anajua kikao cha marais wa zamani wa TLS cha kujadiili haki za uchaguzi ni kikao cha Chadema tu, hakuna lingine.
Kama marais wa zamani mbona wakili Edward Hossea hakuwepo?
Sasa siukamuukize Hosea kwanini hajakuwepo na ile hali wenzie walikuwepo?Mtu yeyote mwenye akili anajua kikao cha marais wa zamani wa TLS cha kujadiili haki za uchaguzi ni kikao cha Chadema tu, hakuna lingine.
Kama marais wa zamani mbona wakili Edward Hossea hakuwepo?