Wakili Mwabukusi: Wapinzani hawana afadhali yoyote na CCM, ni wabaya kuliko hata CCM

Kazi ambayo JK na Magufuli wameweza nani ataishindwa?
Huo upande ambao upo hakuna hata anastahili kufunga viatu vya JK or JPM, these guys are the LEGENDS!! Ni kichaa pekee anaweza fananisha CVs za akina JK kwenye nchi hii na waganga njaa akina Lema, Mbowe, Sugu, Msigwa, Lissu, Sugu na WAHUNI wa aina hiyo. Bora CCM waongoze milele na siyo kuwapa nchi hao waganga njaa
 
Kama umepata hela zako kihalali huwezi kuficha. Ukiona kiongozi anaficha uhalisia wa vyanzo vyake vya mapato, hiyo sio sifa Bali ni wizi. Usitake sifa za viongozi wa ccm, viongozi wengine waige. Isitoshe hao viongozi wa ccm sio role model wa viongozi wa vyama vingine, Bali ni role model wa wafuasi wa chama chao.

Sawa basi tuwatupe CCM katika kisima cha wanasiasa wengi duniani (kimataifa) angalia financial status zao na mwenendo wa siasa zao.

Ushahidi ni mwingi kuanzia hapa Afrika mashariki mpaka China.

Mfano mdogo tu; 1) Issue ya mtoto wa Kenyatta na mashamba ya family na serikali ya Rutto.

2) Issue ya mtoto wa Joe Biden na kampuni ya mafuta na ufadhili kwa Ukraine katika vita yake na Russia.

3) Neil Bush mtoto wa G.H.W Bush Mwaka 1990 na scandal ya kupokea ufadhili wa pesa za serikali kutoka kwa baba yake kuinua biashara ya family ya mafuta.

4) Duduzane Zuma mtoto wa Jacob Zuma na scandal za rushwa na family business na ile ya Guptas.

Na nyingine nyingi.

Hii inakupa picha kwamba hawa wote ni wanasiasa Nguli kabisa na wenye biashara kubwa za kimataifa lakini kamwe hutokaa uwaone mbele ya mstari wa biashara zao ili kuzilinda hizo biashara na status zao kisiasa.

Siasa ni Sawa na huduma muhimu na ya msingi kwa wananchi tena wengi wa wananchi ni wale wasio na uwezo wa kiuchumi hata kwa robo moja Sawa na wanasiasa wengi ambao mapato yatokanayo na mishahara tu ni ndoto kwa wananchi wengi.

Sasa wewe mwanasiasa wa kisasa (mtumishi wa siasa za kiuanaharakati) huwezi kutoa huduma yako kwa ufanisi stahiki kwa sababu nguvu kubwa itabidi ibaki kulinda biashara zako kabla ya kulinda zile za wananchi.

Ni rahisi zaidi Kama ukiwa nyuma kabisa katika uso wa hizo biashara ili ucheze front line kwenye Siasa ama uwe nyuma kabisa kwenye mstari wa siasa ubaki mfadhili na mchezeshaji huku ukiwajenga wanaharakati wa kusimama mbele kabisa kwenye siasa badala yako.
 
Wewe unajua chadema wanapokea rukuzu Bilioni ngapi kwa mwezi? Au mpaka tukuwekee picha za Lissu anatumbua mipaja ya saso akishushia na kilimanjaro ndio utaamini?
Mipaja na Kilimanjaro kwani hata wewe unashindwa kununua?
 
Huo upande ambao upo hakuna hata anastahili kufunga viatu vya JK or JPM, these guys are the LEGENDS!! Ni kichaa pekee anaweza fananisha CVs za akina JK kwenye nchi hii na waganga njaa akina Lema, Mbowe, Sugu, Msigwa, Lissu, Sugu na WAHUNI wa aina hiyo. Bora CCM waongoze milele na siyo kuwapa nchi hao waganga njaa
Mbona unaabudu watu ndugu...😅😅😅
Yaani unaamini kabisa kuwa hao wanasiasa ni binadamu spesheli sana? Kwa kitu gani walichogundua?
 
Mbowe ni MTU Wa CCTIM.
Mtei ni MTU Wa CCTIM .
Hawa wote walifanya KAZI Benki kuu kulinda maslahi ya Ikulu chini ya tawala za CCM.
Hakuna MTU from no where anaweza kupewa Nafasi ya kuwa Governor Wa Benki kuu. Au Hata mfanyakazi Wa Benki kuu ambayo ni hazina kuu ya nchi.

Kutegemea mabadiliko ya kweli kupitia Chadema chini ya Mbowe ni kujidanganya.

Kizazi hiki hakikubaliani Kabisa na siasa za Mbowe na kundi la Wapigaji ndani ya CCM.
Mbowe alifaidika sana na mifumo ya kifisadi chini ya Serikali ya Awamu ya NNE. Na Sasa awamu ya Sita imerejea chini ya Awamu ya NNE . Mbowe ni mnufaika mkubwa Wa siasa za kihunu na kifisadi.
Umaarufu Wa Chadema SIO mbowe Bali ni Dr. Slaa MTU safi na hatimaye uhai Wa Chadema ukarejea Baada ya Tundu Lisu Kupigwa risasi. Tukio la Kupigwa risasi Kwa Tundu Lisu Hata Mimi lilisababisha nikaichukia Serikali ya Awamu Kwa sababu Tundu Lisu ni MTU safi Kama Dr. Slaa.
Kipimo cha siasa za Kizazi hiki na Wananchi 80% kilichochoshwa na ufisadi ni kuwaangalia watu Kama Paulo Makonda,Mwabukusi, Mpina, Polepole ,Majaliwa n.k. jinsi wanavyokibalika .
Lakini siasa za kina JK ,Samia na Mbowe ni Za kulinda maslahi ya Mafisadi Wachache chini ya mwavuli Wa Demokrasia.
Demokrasia Gani kwenye Katiba na mfumo Wa chama kimoja kama SIO utapeli.?
Majizi yote ndani ya mifumo yote na mihimili yote yanafurahia Wizi na ufisadi na MTU akipinga wanasema ni wivu na roho mbaya. Yaani wafanyakazi na wafanyabiashara halali ndio wanaumizwa na Mafisadi Wachache yanasherehekea mifumo ya kinyonyaji na kukwepa Kodi na Wizi Wa fedha za umma. Mbowe anashangilia Kwa sababu tu anatumia Taasisi yake kufanya biashara ya kunikopesha na kulipa Kwa uhakika kupitia ruzuku ya chama.

Hakuna dhamira ya dhati Kwa Hawa wenyeviti Wa Vyama Vya siasa vilivyopo.
ACT na Zito wake ndio hovyo Kabisa utadhani ni Wageni na wavamizi Wa nchi hii.
Wanatumia siasa za hovyo za ukanda na Udini kama CCM.

Chadema ikitaka kuingia madarakani ni Lazima wakibali kukosolewa na kuweka mifumo imara Tofauti na CCM na Mbowe ampishe John Heche au Lisu.
Kama Kuna fedha Mbowe anadai Chadema atuambie ni shilingi ngapi,Wanachama tupo zaidí ya Milioni Mbili na nusu tutachanga na kumlipa Ili chama kiweze kuiondoa CCM ya Mafisadi Madarakani.

CCM inajua kuwa WATANZANIA hasa vijana hawafurahishwa na vitendo Vya ufisadi unaofanywa na Kizazi cha Akina Fulani ambacho Hata mitihani kilifaulu Kwa Wizi Wa mitihani ya kuletewa nyumbani wiki Moja Kabla ya mitihani.
Matokeo yake kinajaribu kumtumia Makonda kuwarubuni watu Kwa Sababu ndiye KIJANA ndani ya CCM angalau anayeonekana kukerwa na vitendo Vya kuihujumu nchi waziwazi.

Hivi kama SIO kukosa macho na akili unawezaje kujitenga na Dr. Slaa na Mwabukusi kama SIO kuwa na Wanasiasa wapumbavu?
Mwabukusi na Dr . Slaa ni watu maalumu wanaotumwa na Mungu Baada ya kukosekana MTU Wa kuwasemea wanyonge na rasilimali zao walizopewa na Mungu ambazo hazitokani na juhudi ya binadamu.
Ni ujinga na upumbavu kuwaaminisha WATANZANIA Wa Makabila 120 kuwa Mbowe ni Chadema na Chadema ni Mbowe . Bila Mbowe eti Chadema itakufa. Chama ambacho Kwa Sasa kina nguvu kubwa mikoa Mingine mbali na Kilimanjaro.
Chadema itakufa Kwa kuwaaminisha watu kuwa bila Mbowe hakuna MTU Mwingine. Ni upumbavu Mkubwa. Kwa Sasa chama ndio kinambeba mbowe Kwa kuwa kina wanachama wengi na miradi mingi.

CCM ilipoingiza Siasa za kifisadi na Kibepari ilipoteza mvuto Tangu Awamu ya Pili ikabaki kuwa chama cha kutumia mabavu kubaki madarakani lakini Wananchi wengi hawapendi mifumo inayoruhusu watu Wachache kufuja Mali za umma Huku wakiwa wanajipanga kimifumo na kisasa bila kujali Vyama Ili waweze kulindana .
 
Naamini Mbeya wanaweza kuanzisha chama cha ziada chenye mafanikio kwenye upinzani, isiwe kila muda vyama vyenye upinzani vianzishwe na watu wa Kilimanjaro (Ilianza Tlp, ikaja Nccr, sasa ni Chadema)

Sasa Kilimanjaro wana maulana ya kuona fursa za maokoto.
 
Hivi wewe unadhani hela anayopata kupitia siasa hata uwe na bilicanas kumi ni cha mtoto,hivi unadhani kwa nini hataki kuachie uwenyekiti?
Hawa ni wapumbavu Kama magaidi yaliyokuwa yanajitoa Mhanga Huku viongozi Wa ugaidi wakiwa wanajificha na kuoa wake wengi na kuendelea kuzaa na kulindwa kama wafalme bila wao kujitoa Mhanga.

Mbowe anafanyia biashara kubwa sana ndani ya chama. Hakuna mchaga goigoi kwenye fursa ya pesa. Hakuna mchaga anayepoteza pesa yake kwenye biashara kichaa .
Chama kina miradi mingi na nembo yake inaweza kutumika kuagiza bidhaa nyingi sana Toka china. Bidhaa kama magari ,pikipiki, tishrt, scarf,kofia , vitenge,Madela, pesa za kupangisha maofisi Kila mkoa na Wilaya. Mafuta ya magari ,matengenezo ya magari n.k. Huko ndiko Wizi unakojificha . Mbowe akiangiza mfano t-shirt Milioni Mbili Kwa Bei ya Sh. 5000/- na kisha kuziuzia chama Kwa Bei ya Sh. 10000 /- atapata faida ya Sh. Bil. 10. Alinunua pikipiki 1000 Kwa Bei ya Sh. Mil. 1.5 na kuzuia chama Kwa sh. Mil. Mbili na nusu anapata faida ya Sh. Bil. 10.n.k.
Kinachombeba Mbowe ni mtaji na utajiri wake Wa kuweza kutoa pesa yake na kukopesha chama Kwa mtindo Wa zabuni. Hapo huwezi ukamtoa pale . Bahati Mbaya Kuna kakundi kadogo kanakinda maslahi Yao kanatumika kama chawa.
Covid 19 wanamjua Mbowe vizuri wakiongozwa na Mdee ámbaye ni Mtoto Wa mboga saba Toka familia Bora ámbaye anajua michongo na usanii Wa Mbowe. Akapinga kukaa kijiweni Huku Mbowe akiendelea kujinufaisha kupitia mgongo Wa chama .
Dr. Samia Naye akapigilia msumari Wa mwisho wa jeneza la Chadema Kwa kumlipa Mbowe stahiki zake na pia kumlambisha Asali za michakato ya kuuza rasilimali zote za Tanzania Kwa Mafisadi waliojificha Nyuma ya waarabu na wahindi.
 
Mbowe ni MTU Wa CCTIM.
Mtei ni MTU Wa CCTIM .
Hawa wote walifanya KAZI Benki kuu kulinda maslahi ya Ikulu chini ya tawala za CCM.
Hakuna MTU from no where anaweza kupewa Nafasi ya kuwa Governor Wa Benki kuu. Au Hata mfanyakazi Wa Benki kuu ambayo ni hazina kuu ya nchi.

Kutegemea mabadiliko ya kweli kupitia Chadema chini ya Mbowe ni kujidanganya.

Kizazi hiki hakikubaliani Kabisa na siasa za Mbowe na kundi la Wapigaji ndani ya CCM.
Mbowe alifaidika sana na mifumo ya kifisadi chini ya Serikali ya Awamu ya NNE. Na Sasa awamu ya Sita imerejea chini ya Awamu ya NNE . Mbowe ni mnufaika mkubwa Wa siasa za kihunu na kifisadi.
Umaarufu Wa Chadema SIO mbowe Bali ni Dr. Slaa MTU safi na hatimaye uhai Wa Chadema ukarejea Baada ya Tundu Lisu Kupigwa risasi. Tukio la Kupigwa risasi Kwa Tundu Lisu Hata Mimi lilisababisha nikaichukia Serikali ya Awamu Kwa sababu Tundu Lisu ni MTU safi Kama Dr. Slaa.
Kipimo cha siasa za Kizazi hiki na Wananchi 80% kilichochoshwa na ufisadi ni kuwaangalia watu Kama Paulo Makonda,Mwabukusi, Mpina, Polepole ,Majaliwa n.k. jinsi wanavyokibalika .
Lakini siasa za kina JK ,Samia na Mbowe ni Za kulinda maslahi ya Mafisadi Wachache chini ya mwavuli Wa Demokrasia.
Demokrasia Gani kwenye Katiba na mfumo Wa chama kimoja kama SIO utapeli.?
Majizi yote ndani ya mifumo yote na mihimili yote yanafurahia Wizi na ufisadi na MTU akipinga wanasema ni wivu na roho mbaya. Yaani wafanyakazi na wafanyabiashara halali ndio wanaumizwa na Mafisadi Wachache yanasherehekea mifumo ya kinyonyaji na kukwepa Kodi na Wizi Wa fedha za umma. Mbowe anashangilia Kwa sababu tu anatumia Taasisi yake kufanya biashara ya kunikopesha na kulipa Kwa uhakika kupitia ruzuku ya chama.

Hakuna dhamira ya dhati Kwa Hawa wenyeviti Wa Vyama Vya siasa vilivyopo.
ACT na Zito wake ndio hovyo Kabisa utadhani ni Wageni na wavamizi Wa nchi hii.
Wanatumia siasa za hovyo za ukanda na Udini kama CCM.

Chadema ikitaka kuingia madarakani ni Lazima wakibali kukosolewa na kuweka mifumo imara Tofauti na CCM na Mbowe ampishe John Heche au Lisu.
Kama Kuna fedha Mbowe anadai Chadema atuambie ni shilingi ngapi,Wanachama tupo zaidí ya Milioni Mbili na nusu tutachanga na kumlipa Ili chama kiweze kuiondoa CCM ya Mafisadi Madarakani.

CCM inajua kuwa WATANZANIA hasa vijana hawafurahishwa na vitendo Vya ufisadi unaofanywa na Kizazi cha Akina Fulani ambacho Hata mitihani kilifaulu Kwa Wizi Wa mitihani ya kuletewa nyumbani wiki Moja Kabla ya mitihani.
Matokeo yake kinajaribu kumtumia Makonda kuwarubuni watu Kwa Sababu ndiye KIJANA ndani ya CCM angalau anayeonekana kukerwa na vitendo Vya kuihujumu nchi waziwazi.

Hivi kama SIO kukosa macho na akili unawezaje kujitenga na Dr. Slaa na Mwabukusi kama SIO kuwa na Wanasiasa wapumbavu?
Mwabukusi na Dr . Slaa ni watu maalumu wanaotumwa na Mungu Baada ya kukosekana MTU Wa kuwasemea wanyonge na rasilimali zao walizopewa na Mungu ambazo hazitokani na juhudi ya binadamu.
Ni ujinga na upumbavu kuwaaminisha WATANZANIA Wa Makabila 120 kuwa Mbowe ni Chadema na Chadema ni Mbowe . Bila Mbowe eti Chadema itakufa. Chama ambacho Kwa Sasa kina nguvu kubwa mikoa Mingine mbali na Kilimanjaro.
Chadema itakufa Kwa kuwaaminisha watu kuwa bila Mbowe hakuna MTU Mwingine. Ni upumbavu Mkubwa. Kwa Sasa chama ndio kinambeba mbowe Kwa kuwa kina wanachama wengi na miradi mingi.

CCM ilipoingiza Siasa za kifisadi na Kibepari ilipoteza mvuto Tangu Awamu ya Pili ikabaki kuwa chama cha kutumia mabavu kubaki madarakani lakini Wananchi wengi hawapendi mifumo inayoruhusu watu Wachache kufuja Mali za umma Huku wakiwa wanajipanga kimifumo na kisasa bila kujali Vyama Ili waweze kulindana .
Anzisha chama chako kama unaona hawafai na kazi wanafanya ni rahisi
 
Sawa basi tuwatupe CCM katika kisima cha wanasiasa wengi duniani (kimataifa) angalia financial status zao na mwenendo wa siasa zao.

Ushahidi ni mwingi kuanzia hapa Afrika mashariki mpaka China.

Mfano mdogo tu; 1) Issue ya mtoto wa Kenyatta na mashamba ya family na serikali ya Rutto.

2) Issue ya mtoto wa Joe Biden na kampuni ya mafuta na ufadhili kwa Ukraine katika vita yake na Russia.

3) Neil Bush mtoto wa G.H.W Bush Mwaka 1990 na scandal ya kupokea ufadhili wa pesa za serikali kutoka kwa baba yake kuinua biashara ya family ya mafuta.

4) Duduzane Zuma mtoto wa Jacob Zuma na scandal za rushwa na family business na ile ya Guptas.

Na nyingine nyingi.

Hii inakupa picha kwamba hawa wote ni wanasiasa Nguli kabisa na wenye biashara kubwa za kimataifa lakini kamwe hutokaa uwaone mbele ya mstari wa biashara zao ili kuzilinda hizo biashara na status zao kisiasa.

Siasa ni Sawa na huduma muhimu na ya msingi kwa wananchi tena wengi wa wananchi ni wale wasio na uwezo wa kiuchumi hata kwa robo moja Sawa na wanasiasa wengi ambao mapato yatokanayo na mishahara tu ni ndoto kwa wananchi wengi.

Sasa wewe mwanasiasa wa kisasa (mtumishi wa siasa za kiuanaharakati) huwezi kutoa huduma yako kwa ufanisi stahiki kwa sababu nguvu kubwa itabidi ibaki kulinda biashara zako kabla ya kulinda zile za wananchi.

Ni rahisi zaidi Kama ukiwa nyuma kabisa katika uso wa hizo biashara ili ucheze front line kwenye Siasa ama uwe nyuma kabisa kwenye mstari wa siasa ubaki mfadhili na mchezeshaji huku ukiwajenga wanaharakati wa kusimama mbele kabisa kwenye siasa badala yako.
Niliwambia miaka mingi sana Chadema.
Mbowe kamwe Hawezi kusimamia Chadema ikaingia madarakani.

Kwa Sasa Kila Kiongozi Wa Chadema anawaza kutajirika kama Mbowe bila kuwaza kuwa Mbowe amekulia MAISHA ya kitajiri Tangu Enzi ya mkoloni.

Zito Kabwe anamiliki chama Baada ya kutumiwa sana na CCM Kwa Rushwa na ufisadi . Sasa ametajirika na anajua mbinu za kujinufaisha na chama kama Mbowe.
Hakuna tajiri aliyeko tayari kupoteza kupambana na Dola kisha afungwe au apoteze MAISHA.
Mbowe ni muoga sana.
Aliungwa gerezani Kwa nguvu lakini hakutegekea Kabisa Kwa kuwa harakati zake hua ni nyepesi sana na hazina Lugha za kichochezi zaidí ya kujihami.
Mbowe angekua ni jasiri na mwenye Nia ya kuiondoa CCM madarakani basi Ilikua ni Mwaka 2015 ambapo watu walikuwa wanaibusu picha ya Lowasa na kuizunguka Kwa maelfu Kila Kona ya nchi. Kura zikabadilishwa na wakanyanganywa Computer zao na kakikundi Ka askari wasiozidi wanne mchana kweupe Ili wasijumlishe kura zao na kujua walivyoishinda CCM.
Maandamano yasiyokoma yangekua rahisi sana Mwaka 2015 mana Ilikua ni Vita Kati ya Haki na dhulma

JPM Akaja Kwa lengo la kutekeleza será za Chadema za kukamata na Kufunga Mafisadi . Mbowe akaitisha MAANDAMANO ya Ukuta.
Yakashindwa vibaya Kwa kukosa kuungwa mkono na Wananchi mana yalikua ni maandamano Kati ya Wema(MAGUFULI )na ubaya( Mafisadi).
 
Anzisha chama chako kama unaona hawafai na kazi wanafanya ni rahisi
Kwa Sasa Chama kimeshaanzishwa.
CCM ni chama cha Mapinduzi .
Kinajipindua chenyewe ndio Maana hakuna Mafisadi wanaotamba zaidí ya miaka kumi yanatolewa na kutikiswa .
Fursa huyo Ilikua ni ya Upinzani lakini hawana mrengo. Dunia Nzima kwenye siasa za Kibepari panakua na Vyama viwili vyenye nguvu;Chama Chenye kupigania maslahi ya Wananchi wengi na Chama chenye kuwahadaa Wananchi Kwa kutumia fedha na linda nguvu ya matajiri Wachache.
Mf.Marekani ,Republican (Matajiri)
Democratic (Wanyonge wengi)
Tanzania CCM mwinyi na msoga(Matajiri)
CCM Nyerere na magufuli (Wanyonge wengi)
Na Sasa wameanza kuonyesha wazi kukerwa na ufisadi wakiwemo wakina Makonda, Ndugai, Polepole, Mpina n.k.
CCM imeona udhaifu Wa Wapinzani ikaamua ianzushe Upinzani Wa ndani Kwa ndani. Wakishinda wanavunja makundi na kugawana ulaji kama kawaida.
 
View: https://m.youtube.com/watch?v=Wxxs8jCMQfI

Bora CDM wajitenge na huyu Mwabukusi pamoja na sauti ya watanzania.

Baada ya kusikiliza clip yote akiongea ‘sauti ya watanzania’ huyu jamaa na Mdude akili zao sawa.

Hataki bunge la katiba anataka watu wafanye mambo nje ndio watuletee katiba. Sasa hiko kitu kinawezaje kuwa sheria popote duniani wakati mabunge duniani kote ndio yenye uwezo wa kutunga/kupitisha sheria.

Analaumu bunge alifanyi kazi vizuri anataka maamuzi yafanyike kwenye baraza la mawaziri. Wakati mawaziri ni watu walioteuliwa na raisi kutakuwa na usimamizi hapo wa serikali.

Ni mtu anaejiropokea tu mambo ya hovyo, yeye pamoja na wenzake huko sauti ya watanzania; halafu wanataka CDM wa-entertain nadharia zao za upuuzi.
 
HAKUNA TOFAUTI KATI YA CCM NA WAPINZANI, NI WALEWALE" MWABUKUSI

Upinzani na CCM hawana tofauti, kitendo cha kutaka kuingia kwenye uchaguzi bila katiba mpya ni kwa sababu ya maslahi binafsi na sio maslahi ya Taifa, ndio maana kuna chawa wa chama tawala na huku upinzani nako kuna machawa huku kwetu kwenye upinzani

Hakuna mtu yuko tayari kumwambia kiongozi wake kwamba anayoyafanya hayako sawa, hatuna hata mgambo lakini nakuhakikishia sisi wapinzani ni wabaya kuliko hawa walioko madarakani, tunaogopana kuambiana ukweli, sisi na CCM hatuna tofauti kabisa.

Najiuliza kwanini wapinzani tunashindwa kuonyesha msimamo?

kwanini twende kushiriki uchaguzi bila katiba mpya?

Nilishasema kuna biashara ya Demokrasia inafanyika hapa nchini"

Chanzo : Jambo Tv
Uzuri jamaa anatiririka tu ukweli
 
Ni kweli anachosema Adv. Mwabukusi, siasa zetu kwa kiasi kikubwa zimegeuzwa kuwa ajira, na wala sio kuwatumikia wananchi kama walivyozoea kutudanganya.

Ndio maana unawaona wale wanawake 19 bado wako bungeni mpaka leo bila aibu yoyote, wanakula bure kodi za watanganyika, huku ajabu wakiwa bungeni nao wanajidai kulaani upotevu wa fedha serikalini, wao hawajioni!..

Huku wengine nao wameshasahau kama msimamo wa chama chao ni kutoshiriki uchaguzi, mpaka Katiba Mpya ipatikane, wao wameshaanza kusema watahakikisha wanawaondoa wabunge wa CCM majimboni mwao, hii kauli ni sawa na tusi kwa mtu mwenye spirit ya Adv. Mwabukusi.

Wapiga kura tunageuzwa mtaji wa wanasiasa bila kujua, sometime tuna siasa za kisanii sana, za kupitisha muda ili wale na familia zao, kwa wale walioupata utajiri kupitia siasa, kamwe hawawezi kuuacha uchaguzi upite mpaka waisubiri Katiba Mpya ipatikane.

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
Hadi mseme[emoji38]
 
Hili liko wazi, watu wapo kwa maslahi binafsi na wote ni wale wale tu.
 
Kwa Sasa Chama kimeshaanzishwa.
CCM ni chama cha Mapinduzi .
Kinajipindua chenyewe ndio Maana hakuna Mafisadi wanaotamba zaidí ya miaka kumi yanatolewa na kutikiswa .
Fursa huyo Ilikua ni ya Upinzani lakini hawana mrengo. Dunia Nzima kwenye siasa za Kibepari panakua na Vyama viwili vyenye nguvu;Chama Chenye kupigania maslahi ya Wananchi wengi na Chama chenye kuwahadaa Wananchi Kwa kutumia fedha na linda nguvu ya matajiri Wachache.
Mf.Marekani ,Republican (Matajiri)
Democratic (Wanyonge wengi)
Tanzania CCM mwinyi na msoga(Matajiri)
CCM Nyerere na magufuli (Wanyonge wengi)
Na Sasa wameanza kuonyesha wazi kukerwa na ufisadi wakiwemo wakina Makonda, Ndugai, Polepole, Mpina n.k.
CCM imeona udhaifu Wa Wapinzani ikaamua ianzushe Upinzani Wa ndani Kwa ndani. Wakishinda wanavunja makundi na kugawana ulaji kama kawaida.
Sawa wewe na mwabukusi anzisheni harakati za upinzani si mnaona wenzenu wameshindwa kazi na wamenunuliwa na ccm

Kulaumu watu wengine kwa jambo unaloweza kufanya ni ujuha na ujinga wa hali ya juu sana
 
Yaani huu mgao wa umeme ndio usambaratishe wapinzani? Au kuuza bandari ndio kunaweza kusambaratisha wapinzani? Ukitaka kujua watu wamepuuza hilo zoezi liitwalo uchaguzi, subira chaguzi zijazo uone jinsi wapiga kura watakavyokuwa wachache. Na sababu hasa ya watu kupuuza uchaguzi, ni kitendo Cha ccm kulazimisha kutangazwa washindi kwa shuruti bila ridhaa ya wananchi.
Hakuna haja ya kujisumbua
Kupiga kura

Ova
 
Hizo ni saccos na nguvu ya ccm inasababishwa na huu upinzani wa kiupigaji tulio nao
Vyama vya upinzani hapa nchini ni walamba asali wakuu na wazee wa fursa
Wakiitisha maandamano wenyewe wanayaangalia kupitia tv.
 
Back
Top Bottom