Naipendatz
JF-Expert Member
- Jul 27, 2011
- 5,096
- 8,234
Huo upande ambao upo hakuna hata anastahili kufunga viatu vya JK or JPM, these guys are the LEGENDS!! Ni kichaa pekee anaweza fananisha CVs za akina JK kwenye nchi hii na waganga njaa akina Lema, Mbowe, Sugu, Msigwa, Lissu, Sugu na WAHUNI wa aina hiyo. Bora CCM waongoze milele na siyo kuwapa nchi hao waganga njaaKazi ambayo JK na Magufuli wameweza nani ataishindwa?
Kama umepata hela zako kihalali huwezi kuficha. Ukiona kiongozi anaficha uhalisia wa vyanzo vyake vya mapato, hiyo sio sifa Bali ni wizi. Usitake sifa za viongozi wa ccm, viongozi wengine waige. Isitoshe hao viongozi wa ccm sio role model wa viongozi wa vyama vingine, Bali ni role model wa wafuasi wa chama chao.
Wewe Makupa siasa imekupa nini zaidi ya kuishi kama malaya?
Mipaja na Kilimanjaro kwani hata wewe unashindwa kununua?Wewe unajua chadema wanapokea rukuzu Bilioni ngapi kwa mwezi? Au mpaka tukuwekee picha za Lissu anatumbua mipaja ya saso akishushia na kilimanjaro ndio utaamini?
Mbona unaabudu watu ndugu...😅😅😅Huo upande ambao upo hakuna hata anastahili kufunga viatu vya JK or JPM, these guys are the LEGENDS!! Ni kichaa pekee anaweza fananisha CVs za akina JK kwenye nchi hii na waganga njaa akina Lema, Mbowe, Sugu, Msigwa, Lissu, Sugu na WAHUNI wa aina hiyo. Bora CCM waongoze milele na siyo kuwapa nchi hao waganga njaa
Hao ndo wenye mamlaka za kuamua uishi au laMbona unaabudu watu ndugu...😅😅😅
Yaani unaamini kabisa kuwa hao wanasiasa ni binadamu spesheli sana? Kwa kitu gani walichogundua?
Naamini Mbeya wanaweza kuanzisha chama cha ziada chenye mafanikio kwenye upinzani, isiwe kila muda vyama vyenye upinzani vianzishwe na watu wa Kilimanjaro (Ilianza Tlp, ikaja Nccr, sasa ni Chadema)
Hawa ni wapumbavu Kama magaidi yaliyokuwa yanajitoa Mhanga Huku viongozi Wa ugaidi wakiwa wanajificha na kuoa wake wengi na kuendelea kuzaa na kulindwa kama wafalme bila wao kujitoa Mhanga.Hivi wewe unadhani hela anayopata kupitia siasa hata uwe na bilicanas kumi ni cha mtoto,hivi unadhani kwa nini hataki kuachie uwenyekiti?
Anzisha chama chako kama unaona hawafai na kazi wanafanya ni rahisiMbowe ni MTU Wa CCTIM.
Mtei ni MTU Wa CCTIM .
Hawa wote walifanya KAZI Benki kuu kulinda maslahi ya Ikulu chini ya tawala za CCM.
Hakuna MTU from no where anaweza kupewa Nafasi ya kuwa Governor Wa Benki kuu. Au Hata mfanyakazi Wa Benki kuu ambayo ni hazina kuu ya nchi.
Kutegemea mabadiliko ya kweli kupitia Chadema chini ya Mbowe ni kujidanganya.
Kizazi hiki hakikubaliani Kabisa na siasa za Mbowe na kundi la Wapigaji ndani ya CCM.
Mbowe alifaidika sana na mifumo ya kifisadi chini ya Serikali ya Awamu ya NNE. Na Sasa awamu ya Sita imerejea chini ya Awamu ya NNE . Mbowe ni mnufaika mkubwa Wa siasa za kihunu na kifisadi.
Umaarufu Wa Chadema SIO mbowe Bali ni Dr. Slaa MTU safi na hatimaye uhai Wa Chadema ukarejea Baada ya Tundu Lisu Kupigwa risasi. Tukio la Kupigwa risasi Kwa Tundu Lisu Hata Mimi lilisababisha nikaichukia Serikali ya Awamu Kwa sababu Tundu Lisu ni MTU safi Kama Dr. Slaa.
Kipimo cha siasa za Kizazi hiki na Wananchi 80% kilichochoshwa na ufisadi ni kuwaangalia watu Kama Paulo Makonda,Mwabukusi, Mpina, Polepole ,Majaliwa n.k. jinsi wanavyokibalika .
Lakini siasa za kina JK ,Samia na Mbowe ni Za kulinda maslahi ya Mafisadi Wachache chini ya mwavuli Wa Demokrasia.
Demokrasia Gani kwenye Katiba na mfumo Wa chama kimoja kama SIO utapeli.?
Majizi yote ndani ya mifumo yote na mihimili yote yanafurahia Wizi na ufisadi na MTU akipinga wanasema ni wivu na roho mbaya. Yaani wafanyakazi na wafanyabiashara halali ndio wanaumizwa na Mafisadi Wachache yanasherehekea mifumo ya kinyonyaji na kukwepa Kodi na Wizi Wa fedha za umma. Mbowe anashangilia Kwa sababu tu anatumia Taasisi yake kufanya biashara ya kunikopesha na kulipa Kwa uhakika kupitia ruzuku ya chama.
Hakuna dhamira ya dhati Kwa Hawa wenyeviti Wa Vyama Vya siasa vilivyopo.
ACT na Zito wake ndio hovyo Kabisa utadhani ni Wageni na wavamizi Wa nchi hii.
Wanatumia siasa za hovyo za ukanda na Udini kama CCM.
Chadema ikitaka kuingia madarakani ni Lazima wakibali kukosolewa na kuweka mifumo imara Tofauti na CCM na Mbowe ampishe John Heche au Lisu.
Kama Kuna fedha Mbowe anadai Chadema atuambie ni shilingi ngapi,Wanachama tupo zaidí ya Milioni Mbili na nusu tutachanga na kumlipa Ili chama kiweze kuiondoa CCM ya Mafisadi Madarakani.
CCM inajua kuwa WATANZANIA hasa vijana hawafurahishwa na vitendo Vya ufisadi unaofanywa na Kizazi cha Akina Fulani ambacho Hata mitihani kilifaulu Kwa Wizi Wa mitihani ya kuletewa nyumbani wiki Moja Kabla ya mitihani.
Matokeo yake kinajaribu kumtumia Makonda kuwarubuni watu Kwa Sababu ndiye KIJANA ndani ya CCM angalau anayeonekana kukerwa na vitendo Vya kuihujumu nchi waziwazi.
Hivi kama SIO kukosa macho na akili unawezaje kujitenga na Dr. Slaa na Mwabukusi kama SIO kuwa na Wanasiasa wapumbavu?
Mwabukusi na Dr . Slaa ni watu maalumu wanaotumwa na Mungu Baada ya kukosekana MTU Wa kuwasemea wanyonge na rasilimali zao walizopewa na Mungu ambazo hazitokani na juhudi ya binadamu.
Ni ujinga na upumbavu kuwaaminisha WATANZANIA Wa Makabila 120 kuwa Mbowe ni Chadema na Chadema ni Mbowe . Bila Mbowe eti Chadema itakufa. Chama ambacho Kwa Sasa kina nguvu kubwa mikoa Mingine mbali na Kilimanjaro.
Chadema itakufa Kwa kuwaaminisha watu kuwa bila Mbowe hakuna MTU Mwingine. Ni upumbavu Mkubwa. Kwa Sasa chama ndio kinambeba mbowe Kwa kuwa kina wanachama wengi na miradi mingi.
CCM ilipoingiza Siasa za kifisadi na Kibepari ilipoteza mvuto Tangu Awamu ya Pili ikabaki kuwa chama cha kutumia mabavu kubaki madarakani lakini Wananchi wengi hawapendi mifumo inayoruhusu watu Wachache kufuja Mali za umma Huku wakiwa wanajipanga kimifumo na kisasa bila kujali Vyama Ili waweze kulindana .
Niliwambia miaka mingi sana Chadema.Sawa basi tuwatupe CCM katika kisima cha wanasiasa wengi duniani (kimataifa) angalia financial status zao na mwenendo wa siasa zao.
Ushahidi ni mwingi kuanzia hapa Afrika mashariki mpaka China.
Mfano mdogo tu; 1) Issue ya mtoto wa Kenyatta na mashamba ya family na serikali ya Rutto.
2) Issue ya mtoto wa Joe Biden na kampuni ya mafuta na ufadhili kwa Ukraine katika vita yake na Russia.
3) Neil Bush mtoto wa G.H.W Bush Mwaka 1990 na scandal ya kupokea ufadhili wa pesa za serikali kutoka kwa baba yake kuinua biashara ya family ya mafuta.
4) Duduzane Zuma mtoto wa Jacob Zuma na scandal za rushwa na family business na ile ya Guptas.
Na nyingine nyingi.
Hii inakupa picha kwamba hawa wote ni wanasiasa Nguli kabisa na wenye biashara kubwa za kimataifa lakini kamwe hutokaa uwaone mbele ya mstari wa biashara zao ili kuzilinda hizo biashara na status zao kisiasa.
Siasa ni Sawa na huduma muhimu na ya msingi kwa wananchi tena wengi wa wananchi ni wale wasio na uwezo wa kiuchumi hata kwa robo moja Sawa na wanasiasa wengi ambao mapato yatokanayo na mishahara tu ni ndoto kwa wananchi wengi.
Sasa wewe mwanasiasa wa kisasa (mtumishi wa siasa za kiuanaharakati) huwezi kutoa huduma yako kwa ufanisi stahiki kwa sababu nguvu kubwa itabidi ibaki kulinda biashara zako kabla ya kulinda zile za wananchi.
Ni rahisi zaidi Kama ukiwa nyuma kabisa katika uso wa hizo biashara ili ucheze front line kwenye Siasa ama uwe nyuma kabisa kwenye mstari wa siasa ubaki mfadhili na mchezeshaji huku ukiwajenga wanaharakati wa kusimama mbele kabisa kwenye siasa badala yako.
Kwa Sasa Chama kimeshaanzishwa.Anzisha chama chako kama unaona hawafai na kazi wanafanya ni rahisi
Uzuri jamaa anatiririka tu ukweliHAKUNA TOFAUTI KATI YA CCM NA WAPINZANI, NI WALEWALE" MWABUKUSI
Upinzani na CCM hawana tofauti, kitendo cha kutaka kuingia kwenye uchaguzi bila katiba mpya ni kwa sababu ya maslahi binafsi na sio maslahi ya Taifa, ndio maana kuna chawa wa chama tawala na huku upinzani nako kuna machawa huku kwetu kwenye upinzani
Hakuna mtu yuko tayari kumwambia kiongozi wake kwamba anayoyafanya hayako sawa, hatuna hata mgambo lakini nakuhakikishia sisi wapinzani ni wabaya kuliko hawa walioko madarakani, tunaogopana kuambiana ukweli, sisi na CCM hatuna tofauti kabisa.
Najiuliza kwanini wapinzani tunashindwa kuonyesha msimamo?
kwanini twende kushiriki uchaguzi bila katiba mpya?
Nilishasema kuna biashara ya Demokrasia inafanyika hapa nchini"
Chanzo : Jambo Tv
Hadi mseme[emoji38]Ni kweli anachosema Adv. Mwabukusi, siasa zetu kwa kiasi kikubwa zimegeuzwa kuwa ajira, na wala sio kuwatumikia wananchi kama walivyozoea kutudanganya.
Ndio maana unawaona wale wanawake 19 bado wako bungeni mpaka leo bila aibu yoyote, wanakula bure kodi za watanganyika, huku ajabu wakiwa bungeni nao wanajidai kulaani upotevu wa fedha serikalini, wao hawajioni!..
Huku wengine nao wameshasahau kama msimamo wa chama chao ni kutoshiriki uchaguzi, mpaka Katiba Mpya ipatikane, wao wameshaanza kusema watahakikisha wanawaondoa wabunge wa CCM majimboni mwao, hii kauli ni sawa na tusi kwa mtu mwenye spirit ya Adv. Mwabukusi.
Wapiga kura tunageuzwa mtaji wa wanasiasa bila kujua, sometime tuna siasa za kisanii sana, za kupitisha muda ili wale na familia zao, kwa wale walioupata utajiri kupitia siasa, kamwe hawawezi kuuacha uchaguzi upite mpaka waisubiri Katiba Mpya ipatikane.
Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
Sawa wewe na mwabukusi anzisheni harakati za upinzani si mnaona wenzenu wameshindwa kazi na wamenunuliwa na ccmKwa Sasa Chama kimeshaanzishwa.
CCM ni chama cha Mapinduzi .
Kinajipindua chenyewe ndio Maana hakuna Mafisadi wanaotamba zaidí ya miaka kumi yanatolewa na kutikiswa .
Fursa huyo Ilikua ni ya Upinzani lakini hawana mrengo. Dunia Nzima kwenye siasa za Kibepari panakua na Vyama viwili vyenye nguvu;Chama Chenye kupigania maslahi ya Wananchi wengi na Chama chenye kuwahadaa Wananchi Kwa kutumia fedha na linda nguvu ya matajiri Wachache.
Mf.Marekani ,Republican (Matajiri)
Democratic (Wanyonge wengi)
Tanzania CCM mwinyi na msoga(Matajiri)
CCM Nyerere na magufuli (Wanyonge wengi)
Na Sasa wameanza kuonyesha wazi kukerwa na ufisadi wakiwemo wakina Makonda, Ndugai, Polepole, Mpina n.k.
CCM imeona udhaifu Wa Wapinzani ikaamua ianzushe Upinzani Wa ndani Kwa ndani. Wakishinda wanavunja makundi na kugawana ulaji kama kawaida.
Hakuna haja ya kujisumbuaYaani huu mgao wa umeme ndio usambaratishe wapinzani? Au kuuza bandari ndio kunaweza kusambaratisha wapinzani? Ukitaka kujua watu wamepuuza hilo zoezi liitwalo uchaguzi, subira chaguzi zijazo uone jinsi wapiga kura watakavyokuwa wachache. Na sababu hasa ya watu kupuuza uchaguzi, ni kitendo Cha ccm kulazimisha kutangazwa washindi kwa shuruti bila ridhaa ya wananchi.
Nanunuaga tu... nipe yako na mama'ko ninunue.it seems unauza pssy