Wakili Mwambukusi atilia mkazo suala la kupotea kwa Mdude Nyangali mwanachama wa CHADEMA

Bahati nzuri huyo Kamanda alikuwa anawafahamu wabaya wake tangu hapo! Kwa hiyo wamrudishe tu akiwa hai. Kumuua binadamu mwenzako kwa sababu tu ya nguvu yako ya madaraka, ni upumbavu, lakini pia ni ukatili wa kiwango cha juu sana.
Tena ni UJINGA mkuu, wanyama ndio wanaotakiwa kushambuliana
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…