Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 51,453
- 41,274
epuka matapeli na wapotoshaji mitanadaoni

epuka matapeli na wapotoshaji mitanadaoni

Kavunja Tanganyika law society act. 307
Weka Ile ya 2018Nimekuwekea hapo hiyo sheria sasa nieleze kavunja kanuni ipi?
Maana hata hujui kuandika vizuri lugha ya kisheria unasema ni act 307 wakati ni cap 307.
![]()
The Tanganyika Law Society - East Africa Law Society
The Tanganyika Law Society The Tanganyika Law Society (TLS) is the Bar association of Tanzania Mainland, founded in 1954 by an Act of Parliament – the Tanganyika Law Society Ordinance 1954. The Tanganyika Law Society is currently governed by the Tanganyika Law Society Act, Cap 307 R.E. 2002...ealawsociety.org
Weka Ile ya 2018
Kwahyo usha confirm kuwa Rais wa TLS anahatiaChawa unarukaruka kama Mwambengele aliyetudanganya Samuya alipigiwa kura milioni 32.
Review ipo ya 2023, sasa nenda kasome kipengele cha 13 "Expulsion" halafu ndio unieleze kosa lipi kafanya Mwabukusi.
Kwahyo usha confirm kuwa Rais wa TLS anahatia
Mhaya taahira ,kumer huyuWakili Mwesigwa Siraji Mutabuzi, amemtaka Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) Wakili kuachia nafasi hiyo kama hawezi kusimamia misingi, taratibu na sheria zinazoongoza taasisi hiyo ya kitaaluma, badala ya kuanza kugeuza kuwa 'Jukwaa la Kisiasa'
Wakili huyo amedai kuwa, tangu Wakili Mwabukusi ashike nafasi ya kuongoza TLS amekuwa na mienendo isiyozingatia maadili na isiyokubalika kwenye uwanja wa sheria kwakuwa amekuwa akitumia nafasi hiyo kuwasilisha au kufanya mambo ya kisiasa, kuanzia matamko yake na hata anavyoongoza, hivyo kumtaka kuacha tabia hiyo mara moja na kama inamuwia vigumu kuacha basi aachie ngazi ili wanachama wa TLS watafute Rais mwingine atakayewafaa
Amesema kwa muda mrefu, hata kabla hajawa Rais wa TLS, Wakili Mwabukusi anafahamika mrengo wake wa kisiasa, na kipindi chote hicho amekuwa akifanya kazi zake za siasa, KUIKOSOA serikali na hata kuipeleka Mahakamani lakini hakuna aliyemnyooshea VIDOLE, lakini kwa sasa hawawezi kumvumilia kwakuwa anaongoza taasisi yao