Wakili Mwesiga Mutabazi amesema Mwabukusi aache TLS kwa kuwa sio chama cha siasa

Kavunja Tanganyika law society act. 307

Nimekuwekea hapo hiyo sheria sasa nieleze kavunja kanuni ipi?

Maana hata hujui kuandika vizuri lugha ya kisheria unasema ni act 307 wakati ni cap 307.

 
Weka Ile ya 2018
 
Huyo ni njaa tu na kujipendekeza apate uteuzi, ndio uchawa wenyewe huu. Kina mwambukusi wapo sahihi kupambania haki
 
Mawakili wa serikali wawe na chama chao, kuwajumuisha na mawakili wasio wa serikali wanayumbisha chama. Hawa wa serikali daima huitetea serikali yao
 
Kwahyo usha confirm kuwa Rais wa TLS anahatia

Umelisoma swali?

Expulsion ni hatia?

Narudia swali langu la msingi, katika hiyo sheria ya TLS Mwabukusi amevunja kifungu kipi?

Wewe ndio umetuhumu na huyo Mutabuzi na wote hamsemi kavunja kanuni ipi sasa tuelezeni nasi tufanye rejea kutoka kwenye sheria.
 
ni ujinga endapo hajataja SECTION 4 inasemaje mana ndio ilimpa ushindi mwabukusi
 
Mhaya taahira ,kumer huyu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…