Wakili Nassoro Katuga kuwa makini yasije kukukuta kama yaliyomkuta jaji aliyemuhukumu Sadam Hussein

Mto wa mbu

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2021
Posts
4,507
Reaction score
11,367
Machawa wanaweza kuchukulia simple, lakini tuwakumbushe ata Gadaff, Hussein Mubarak,Bashar al Hasad, Idd Amin walichukulia mambo simple.

Huyu bwana mdogo Nassoro Katuga, tunamjua in and out toka yupo sekondari Arusha, Hadi anaunga Certificate ya law mpaka degree ya law pale Mzumbe University.

Huyu Katuga alisikika siku Moja anaropoka Kwa Lissu kuwa safari hii atakoma. Ndo wakili mkuu wa serikali kwenye hii kesi. Kila akija na hairisho unaona anavyosoma hairisho Kwa majivuno na dharau Ili kumkomoa Lissu.

Nakukumbusha Katuga hao wanaokutuma ipo siku utakuwa mwenyewe.

Uko Iraq Sadam Hussein alishitakiwa Kwa bogus charges kama Lissu, akawekwa ndani Kwa mizengwe, jaji aliyeendesha kesi Jaji Rauf Rashid Rahman bila kuwa na ushaidi wa kutosha akamuhukumu Sadam Hussein kunyongwa Hadi kufa.

Baada ya hiyo hukumu familia ya huyo jaji ikaamia uingereza kula maisha, kama ambavyo familia ya Katuga inakula maisha.

Mungu si Abdul Wala Mchengerwa, mwaka 2014, waasi wa ISS waliushika mji wa Bag dad, jaji Rauf hakuwa na mtu wa kumlinda, waasi walianza nae, walimnyofoa nyama Moja baada ya nyingine. Alikufa kifo Cha mateso sana.

Nassoro Katuga Sahivi unafurahia maumivu ya mwenzako, ata kama unatumwa unaonekana kufurahia utesaji, ipo siku yaja utalipa siku Moja.

Funzo.tutende Mwema coz no one know tomorrow
 
Machawa wanaweza kuchukulia simple, lakini tuwakumbushe ata Gadaff, Hussein Mubarak,Bashar al Hasad, Idd Amin walichukulia mambo simple.

Huyu bwana madogo Nassoro Katuga, tunamjua in and out toka yupo sekondari Arusha, Hadi anaunga Certificate ya law mpaka degree ya law pale Mzumbe University.

Sasa hapo kuna mfanano gani?
 
Mungu si Abdul Wala Mchengerwa, mwaka 2014, waasi wa ISS waliushika mji wa Bag dad, jaji Rauf hakuwa na mtu wa kumlinda, waasi walianza nae, walimnyofoa nyama Moja baada ya nyingine. Alikufa kifo Cha mateso sana.
Wenyewe watakujibu kwa nyodo kuwa ya kifo tuyaache yaje siku ya kifo na ya peponi tuyaache peponi
 
Mkuu kwa mujibu wa kalenda ya hapa kwenye kibanda changu cha matope tomorrow it will be saturday.
Au una maana gani kusema no one know tomorrow?
 
Ishu sio jaji Wala samiah coz kabla ya jaji huyu kuwepo na samiah kushika dola palikuwepo na nchi na taifa liitwalo Tanzania!kwanini hilo taiga na hiyo nchi haikuweka mifumo mizuri ya uwajibikaji kisheria Hadi mtu kutoka makunduchi aje asigine Sheria na asifanywe chochote!!?

Ifike Mahalia tusiwalaumu watu pekee inawezekana tunaowalaumu Wana matatizo ya akili au wamelewa na misingi plus mifumo ingewarudisha kwenye mstari!Sasa Leo hii Tanzania inashindwa kusimamia haki na uhai wa walipa Kodi wake kizembe kabisa kwanini!!?

Wenye kufinyanga siasa zetu,think tank ya taifa wanaotegemewa kama ma genius was taifa hili waitwao Baraza la usalama was taifa hili mpo wapi!!?Nini maana. Ya nyie kukalia viti vyenu!!?

Mungu ibariki Tanzania!
 
Ukweli ni kuwa kuanzia mahakimu mpaka mawakili, kwa upande wa Serikali wamechukuliwa wale wajinga wajinga, wasioweza kufikiria chochote cha mbeleni zaidi ya umbali wa matumbo yao. Wametafutwa wale walio na akili ndogo ambao kwa merit zao hawawezi kufika popote, wanakubali kutumika kwa sababu wanaona labda hii ndiyo njia pekee inaweza kuwafikisha kwenye maisha wanayoyatamani. Kama huyo Katuga, kwa kweli yule kichwani ni below average ya akili ya mwanadamu, hana uwezo wa kuwa independent kiakili.
 
Machawa wanaweza kuchukulia simple, lakini tuwakumbushe ata Gadaff, Hussein Mubarak,Bashar al Hasad, Idd Amin walichukulia mambo simple.

Huyu bwana madogo Nassoro Katuga, tunamjua in and out toka yupo sekondari Arusha, Hadi anaunga Certificate ya law mpaka degree ya law pale Mzumbe University.

Huyu Katuga alisikika siku Moja anaropoka Kwa Lissu kuwa safari hii atakoma. Ndo wakili mkuu wa serikali kwenye hii kesi. Kila akija na hairisho unaona anavyosoma hairisho Kwa majivuno na dharau Ili kumkomoa Lissu.

Nakukumbusha Katuga hao wanaokutuma ipo siku utakuwa mwenyewe.

Uko Iraq Sadam Hussein alishitakiwa Kwa bogus charges kama Lissu, akawekwa ndani Kwa mizengwe, jaji aliyeendesha kesi Jaji Rauf Rashid Rahman bila kuwa na ushaidi wa kutosha akamuhukumu Sadam Hussein kunyongwa Hadi kufa.

Baada ya hiyo hukumu familia ya huyo jaji ikaamia uingereza kula maisha, kama ambavyo familia ya Katuga inakula maisha.

Mungu si Abdul Wala Mchengerwa, mwaka 2014, waasi wa ISS waliushika mji wa Bag dad, jaji Rauf hakuwa na mtu wa kumlinda, waasi walianza nae, walimnyofoa nyama Moja baada ya nyingine. Alikufa kifo Cha mateso sana.

Nassoro Katuga Sahivi unafurahia maumivu ya mwenzako, ata kama unatumwa unaonekana kufurahia utesaji, ipo siku yaja utalipa siku Moja.

Funzo.tutende Mwema coz no one know tomorrow
Tena malipo yake yapo karibuni tu
 
Mfano kina polepole na musiba waneanza kutoka milio
 
Uzuri si kajiweka mbele yeye! Hata akikimbilia ulaya kuna diaspora tutadili naye! Endeleeni kumjaza bichwa huyo mjinga mwenzenu, hatumuachii Mungu kwa wajinga kama hawa!
 
Back
Top Bottom