Mto wa mbu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2021
- 4,507
- 11,367
Wanajisahau sana hao ng'ombe wa mamaAisee. Tafakur JADIDI!!
Wewe acha kutishia watu nyau. Kwani wewe unajiona ndo uko salama salimini kwa kutumia hiyo ID fake hapa JF?Kila akija na hairisho unaona anavyosoma hairisho Kwa majivuno na dharau Ili kumkomoa Lissu.
Niko salama saaaana, njoo unuteke Illinois -USAWewe acha kutishia watu nyau. Kwani wewe unajiona ndo uko salama salimini kwa kutumia hiyo ID fake hapa JF?
Kwanza jifunze kiswahili, neno sahihi hapo ni "ahirisho", siyo 'hairisho' kama ulivyoandika!
Huyo kitampata kituMalipo yake yatapatikana muda sio mrefu. Pamoja na wale askari magereza.
Sasa hapo kuna mfanano gani?Machawa wanaweza kuchukulia simple, lakini tuwakumbushe ata Gadaff, Hussein Mubarak,Bashar al Hasad, Idd Amin walichukulia mambo simple.
Huyu bwana madogo Nassoro Katuga, tunamjua in and out toka yupo sekondari Arusha, Hadi anaunga Certificate ya law mpaka degree ya law pale Mzumbe University.
Huyu Katuga alisikika siku Moja anaropoka Kwa Lissu kuwa safari hii atakoma. Ndo wakili mkuu wa serikali kwenye hii kesi. Kila akija na hairisho unaona anavyosoma hairisho Kwa majivuno na dharau Ili kumkomoa Lissu.
Nakukumbusha Katuga hao wanaokutuma ipo siku utakuwa mwenyewe.
Uko Iraq Sadam Hussein alishitakiwa Kwa bogus charges kama Lissu, akawekwa ndani Kwa mizengwe, jaji aliyeendesha kesi Jaji Rauf Rashid Rahman bila kuwa na ushaidi wa kutosha akamuhukumu Sadam Hussein kunyongwa Hadi kufa.
Baada ya hiyo hukumu familia ya huyo jaji ikaamia uingereza kula maisha, kama ambavyo familia ya Katuga inakula maisha.
Mungu si Abdul Wala Mchengerwa, mwaka 2014, waasi wa ISS waliushika mji wa Bag dad, jaji Rauf hakuwa na mtu wa kumlinda, waasi walianza nae, walimnyofoa nyama Moja baada ya nyingine. Alikufa kifo Cha mateso sana.
Nassoro Katuga Sahivi unafurahia maumivu ya mwenzako, ata kama unatumwa unaonekana kufurahia utesaji, ipo siku yaja utalipa siku Moja.
Funzo.tutende Mwema coz no one know tomorrow
Wenyewe watakujibu kwa nyodo kuwa ya kifo tuyaache yaje siku ya kifo na ya peponi tuyaache peponiMungu si Abdul Wala Mchengerwa, mwaka 2014, waasi wa ISS waliushika mji wa Bag dad, jaji Rauf hakuwa na mtu wa kumlinda, waasi walianza nae, walimnyofoa nyama Moja baada ya nyingine. Alikufa kifo Cha mateso sana.
Mkuu kwa mujibu wa kalenda ya hapa kwenye kibanda changu cha matope tomorrow it will be saturday.Machawa wanaweza kuchukulia simple, lakini tuwakumbushe ata Gadaff, Hussein Mubarak,Bashar al Hasad, Idd Amin walichukulia mambo simple.
Huyu bwana madogo Nassoro Katuga, tunamjua in and out toka yupo sekondari Arusha, Hadi anaunga Certificate ya law mpaka degree ya law pale Mzumbe University.
Huyu Katuga alisikika siku Moja anaropoka Kwa Lissu kuwa safari hii atakoma. Ndo wakili mkuu wa serikali kwenye hii kesi. Kila akija na hairisho unaona anavyosoma hairisho Kwa majivuno na dharau Ili kumkomoa Lissu.
Nakukumbusha Katuga hao wanaokutuma ipo siku utakuwa mwenyewe.
Uko Iraq Sadam Hussein alishitakiwa Kwa bogus charges kama Lissu, akawekwa ndani Kwa mizengwe, jaji aliyeendesha kesi Jaji Rauf Rashid Rahman bila kuwa na ushaidi wa kutosha akamuhukumu Sadam Hussein kunyongwa Hadi kufa.
Baada ya hiyo hukumu familia ya huyo jaji ikaamia uingereza kula maisha, kama ambavyo familia ya Katuga inakula maisha.
Mungu si Abdul Wala Mchengerwa, mwaka 2014, waasi wa ISS waliushika mji wa Bag dad, jaji Rauf hakuwa na mtu wa kumlinda, waasi walianza nae, walimnyofoa nyama Moja baada ya nyingine. Alikufa kifo Cha mateso sana.
Nassoro Katuga Sahivi unafurahia maumivu ya mwenzako, ata kama unatumwa unaonekana kufurahia utesaji, ipo siku yaja utalipa siku Moja.
Funzo.tutende Mwema coz no one know tomorrow
Tumia akili ya kichwani unapo argue, sio ya huko unakokalia.Yani unataka huyo wakili asitekeleze majukumu yake?
Tena malipo yake yapo karibuni tuMachawa wanaweza kuchukulia simple, lakini tuwakumbushe ata Gadaff, Hussein Mubarak,Bashar al Hasad, Idd Amin walichukulia mambo simple.
Huyu bwana madogo Nassoro Katuga, tunamjua in and out toka yupo sekondari Arusha, Hadi anaunga Certificate ya law mpaka degree ya law pale Mzumbe University.
Huyu Katuga alisikika siku Moja anaropoka Kwa Lissu kuwa safari hii atakoma. Ndo wakili mkuu wa serikali kwenye hii kesi. Kila akija na hairisho unaona anavyosoma hairisho Kwa majivuno na dharau Ili kumkomoa Lissu.
Nakukumbusha Katuga hao wanaokutuma ipo siku utakuwa mwenyewe.
Uko Iraq Sadam Hussein alishitakiwa Kwa bogus charges kama Lissu, akawekwa ndani Kwa mizengwe, jaji aliyeendesha kesi Jaji Rauf Rashid Rahman bila kuwa na ushaidi wa kutosha akamuhukumu Sadam Hussein kunyongwa Hadi kufa.
Baada ya hiyo hukumu familia ya huyo jaji ikaamia uingereza kula maisha, kama ambavyo familia ya Katuga inakula maisha.
Mungu si Abdul Wala Mchengerwa, mwaka 2014, waasi wa ISS waliushika mji wa Bag dad, jaji Rauf hakuwa na mtu wa kumlinda, waasi walianza nae, walimnyofoa nyama Moja baada ya nyingine. Alikufa kifo Cha mateso sana.
Nassoro Katuga Sahivi unafurahia maumivu ya mwenzako, ata kama unatumwa unaonekana kufurahia utesaji, ipo siku yaja utalipa siku Moja.
Funzo.tutende Mwema coz no one know tomorrow
Mfano kina polepole na musiba waneanza kutoka milioMachawa wanaweza kuchukulia simple, lakini tuwakumbushe ata Gadaff, Hussein Mubarak,Bashar al Hasad, Idd Amin walichukulia mambo simple.