Wakili Nassoro Katuga kuwa makini yasije kukukuta kama yaliyomkuta jaji aliyemuhukumu Sadam Hussein

MMboN
Mbona mnawatisha wanasheria ?
Na mahakama kiujumla
 
Achukue mfano wa Humphrey Polepole aliyetamba enzi za Magufuli leo hii kila siku anapiga mayowe kuna watu wanataka kumuua anaishi kama digidigi. Malipo ni hapa hapa duniani.
 
Karma is real.✍️📌
 
Wewe acha kutishia watu nyau. Kwani wewe u0najiona ndo uko salama salimini kwa kutumia hiyo ID fake hapa JF?
Kwanza jifunze kiswahili, neno sahihi hapo ni "ahirisho", siyo 'hairisho' kama ulivyoandika!
kaeleza ukweli, tumemuelewa. Hajatisha mtu, katumia mifano muafaka, Unajua Karma, hiyo ni tahadhari yake
 
Unamtisha?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…