Kindeena
JF-Expert Member
- Sep 27, 2017
- 11,462
- 21,124
Kuna mtu kamsaidiaHuyu ndo Mudawote ninayemfahamu sasa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna mtu kamsaidiaHuyu ndo Mudawote ninayemfahamu sasa
Light at the end of the tunnelId imekuwa hacked. Hii id haina akili hii.
Mwenzako anasikiliza maagizo ya ChamaGTs,
Ni heshima iliyoje kuona haki imetendeka na tena kwa uwazi kabisa kwa kijana Wakili Mwambukusi kuibuka mshindi.
Ni dhahiri Wakili Nkuba hakuwa kabisa na uwezekano wa kushinda. Najua michezo yetu wana CCM ya kupenyezana kila sehemu ila hapa tukubali tumeshindwa na ndiyo maana nakuomba Wakili Nkuba achana na kwenda mahakamani kupinga ushindi halali wa Wakili Mwambukusi.
Kumbuka hao hao Mawakili ndiyo watu wako na ndiyo utakaofanya nao kazi maisha yako yote. Haikusaidii kabisa kupinga kile ambacho Mungu kaamua, na elewa hali ya sasa watu wengi hawaipendi CCM kwa sababu na wizi, rushwa, ufisadi, na uzembe.
Kwa maantiki hiyo hata vyombo vya ulinzi na usalama haviwezi kupinga maamuzi ya wengi na ndiyo maana hata CCM 2025 inaweza kushindwa mchana kweupe akipatikana mgombea mbadala mwenye ushawishi maana wananchi wamechoka mno kusikia kila siku report za CAG na hazifanyiwi kazi.
Sikuweza kujizuia kuyanyanyua haya maneno uliyo andika hapo kabla ya kusoma hadi huko mwisho wa bandiko lako.Kumbuka hao hao Mawakili ndiyo watu wako na ndiyo utakaofanya nao kazi maisha yako yote. Haikusaidii kabisa kupinga kile ambacho Mungu kaamua, na elewa hali ya sasa watu wengi hawaipendi CCM kwa sababu na wizi, rushwa, ufisadi, na uzembe.
Inashangaza sana, lakini nadhani ni tafsiri tu ya yanayo tokea huko ndani ya chama chenyewe sasa hivi.Zezeta la Lumumba sijui leo limerudishiwa Ubongo?
Iwapo Samia atakuwa ndiye mtu wa kuwaamsha watu akili namna hii, nami kwa hakika nitamsifu sana huyu mama 'Chura Kiziwi' kwa kazi yake nzuri hii. Shukrani zangu nyingi zitatimia kwake kama chaguzi za Serikali za mitaa na ule mkuu 2025 utaendeshwa katika mazingira kama haya yaliyoonekana TLS. Sitakuwa na lawama juu ya matokeo hao, hata kama CCM watakuwa ndio washindi wa chaguzi hizo.Haya pia twayatalajia hapo baadae kwenye chaguzi zetu zijazo
Nimejaribu kukutafuta sana mkuu, Tindo' baada ya kuyaona haya yanayo tokea sasa. Kwa bahati nzuri, kumbe tupo sote hapa!Id imekuwa hacked. Hii id haina akili hii.
🙏🙏🙏Iwapo Samia atakuwa ndiye mtu wa kuwaamsha watu akili namna hii, nami kwa hakika nitamsifu sana huyu mama 'Chura Kiziwi' kwa kazi yake nzuri hii. Shukrani zangu nyingi zitatimia kwake kama chaguzi za Serikali za mitaa na ule mkuu 2025 utaendeshwa katika mazingira kama haya yaliyoonekana TLS. Sitakuwa na lawama juu ya matokeo hao, hata kama CCM watakuwa ndio washindi wa chaguzi hizo.
Sibadilikibadiliki, hakuna tume huru ya kweli ya uchaguzi siwezi ama hata kushawishi watu wajitokeze kupiga kura. Bado naamini machafuko ama mapinduzi ya kijeshi ndio njio za kweli za kuwatoa hawa majizi. Ww endelea kushawishi uwezavyo, na mimi naendelea vizuri kuhakikisha watu wengi hawajitoezi kushiriki hayo maigizo yaitwayo uchaguzi.Nimejaribu kukutafuta sana mkuu, Tindo' baada ya kuyaona haya yanayo tokea sasa. Kwa bahati nzuri, kumbe tupo sote hapa!
Sina shaka unakumbuka sababu inayonifanya nikukumbuke, kila mara mambo ya aina hii yanapojitokeza, hata kama ni katika ngazi hii ndogo ya TLS.
Wewe unakumbuka, ile nadharia yetu muhimu tunayo ijadili mara zote na kutofikia maafikiano kila mara.
Kumbe "Kususia kupiga kura" siyo njia pekee iliyo baki kuwaonyesha CCM kuwa hawatakiwi tena.
Nategemea, baada ya kushuhudia haya yaliyo tokea kwa Mwabukusi, kwamba wewe na mimi tutashirikiana kuwahimiza waTanzania wajitokeze kwa wingi kabisa nyakati za chaguzi zinazofuata kupiga kura zao kwa viongozi wanao wataka wenyewe. Kazi ya kuhakikisha kura zao hazivurugwi na yeyote, wawasikilize vyama vya upinzani mipango itakayo elezwa kuzuia uhalifu huo uliozoeleka kwa CCM.
Matumaini yangu ni kwamba, sote sasa, wewe na mimi, tutakuwa ukurasa mmoja katika swala hili.
Umeliweka vizuri hili sasa. Kwa upande wangu, anagalau naanza kuwa na matumaini kutokana na haya tuliyo yashuhudia ya TLS, na nina hakika mfano huu utakuwa chachu ya matumaini zaidi kwenda mbele kama wapinzani (soma CHADEMA), watajuwa namna ya kuelezea mfano huu vizuri kwa wananchi tokea sasa hadi chaguzi ziishe.Sibadilikibadiliki, hakuna tume huru ya kweli ya uchaguzi siwezi ama hata kushawishi watu wajitokeze kupiga kura. Bado naamini machafuko ama mapinduzi ya kijeshi ndio njio za kweli za kuwatoa hawa majizi. Ww endelea kushawishi uwezavyo, na mimi naendelea vizuri kuhakikisha watu wengi hawajitoezi kushiriki hayo maigizo yaitwayo uchaguzi.
Sipingi unachoamini, bali siamini unachoamini.Umeliweka vizuri hili sasa. Kwa upande wangu, anagalau naanza kuwa na matumaini kutokana na haya tuliyo yashuhudia ya TLS, na nina hakika mfano huu utakuwa chachu ya matumaini zaidi kwenda mbele kama wapinzani (soma CHADEMA), watajuwa namna ya kuelezea mfano huu vizuri kwa wananchi tokea sasa hadi chaguzi ziishe.
Nazidi kuimarika katika imani kwamba haitakuwa lazima kwa Tanzania kuingia kwenye "machafuko, au mapinduzi" ili kuwaondoa CCM madarakani. Hii kazi inazidi kuonekana kuwa inawezekana sana.
EEEEeeenHEEEEeee!Sipingi unachoamini, bali siamini unachoamini.