JanguKamaJangu
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 2,780
- 6,607
Wakili Steve Ogola amesema uamuzi wa Naibu Rais, Rigathi Gachagua kuomba msamaha kwa bosi wake, Rais William Ruto unaweza kuchukuliwa kuwa ni sehemu ya kuthibitisha ana makosa.
Gachagua anatarajiwa kuhojiwa na Bunge kuhusu tuhuma mbalimbali ikiwemo utovu wa nidhamu, Rushwa, kukiuka katiba, ufisadi na kudaiwa kuwa mnyanyasaji kwa Rais Ruto
Gachagua aliomba radhi wakati wa ibada Jijini Nairobi na kusema kama kuna aliyemkosea akiwa Naibu rais, amsamehe kutoka moyoni, alimuomba msamaha Rais Ruto, Wabunge waliowasilisha hoja katika Bunge la Taifa ya kumwondoa madarakani, na Wakenya kwa makosa aliyoyafanya.
-
Wabunge 291 kati ya 349 wa Bunge wamesaini hoja ya kumshtaki na kumng’oa madarakani Naibu huyo.
Wakati huohuo, Gachagua ameshirikisha Mawakili 20 kwa ajili ya kumtetea katika sual hilo la Wabunge na Mahakamani wakati ambapo Bunge litakaporidhia kuondolewa kwake.
Gachagua's apology is an admission of guilt, Lawyer Ogola says
Lawyer Steve Ogola has opined that Deputy President Rigathi Gachagua plea for forgiveness from his boss President William Ruto can be treated as an admission of guilt.
“That apology is an express admission of guilt. We can not debate the quality of the apology,” Ogola said during a panel discussion on Citizen TV on Monday.
The Deputy President, who will appear before parliament on Tuesday to defend himself, is accused of gross misconduct, violation of the constitution, corruption and said to be insubordinate to his boss President Ruto.
On Sunday, Gachagua appealed to Ruto, MPs and Kenyans at large to forgive him for his wrongdoings.
"I want to say to my brother President William Ruto if, in our zeal to work, I have wronged you, please find it in your heart to forgive me. If my spouse, in her duties with the boychild, has wronged you in any way, please find it in your heart to forgive her," Gachagua pleaded.
According to lawyer Ogola, Gachagua stands guilty of the accusations laid against him, hence his plea for pardon.
“If he is apologizing in the context of those pending charges against him. We must take that apology for what it means, it is an admission of guilt,” says the lawyer.
Meanwhile, DP Gachagua has assembled a battery of 20 advocates including senior counsels to defend him both in parliament and at the courts beginning next week when the House will consider his impeachment motion.
In his defence also, the embattled Deputy President says part of the multi-billion-shilling property linked to him belongs to his late brother and former Nyeri Governor Nderitu Gachagua.
Source: citizen.digital
Pia Soma ~ DP Gachagua: Rais Ruto kama nimekukosea naomba msamaha, Wabunge kama nimewakosea naomba msamaha na Kanisa mnisamehe!

==================