Best home tutor
Senior Member
- May 8, 2026
- 194
- 268
Habari ya hasubuhi.
Sio kwa nia mbaya ni vile watanzania wengi hatujui sheria na katiba kwa hyo ningependa kufahamu hasa majibu kutoka kwa huyu mwandishi wa habari na wakili wa kujitegemea.
Kuna mambo mengi nahitaji ufafanuzi wa kisheria mfano Suala la Matokeo ya raisi kutopingwa popote takishatangazwa kwanini? Lengo la sheria hii ni nini? Kwanini raisi aliyepo madarakani hawezi kushitakiwa? Mfano akifanya vibaya kwa masilahi yake binafsi chombo gani cha kumbana ikiwa yeye anateua watu wengi zaidi ambao wanaingia katika mihimili mbalimbali?Sheria gani inambana yeye?
Lakini pia wakili naulizia mambo ya kesi inakuaje kesi inamaliza mwaka mzima mtuhumiwa akiwa mahabusu na shauri lake halijamalizika ? Mfano mama mmoja alikaa toka 2006 meona jana Azam akatoka 2026 yeye nyaraka zake zilipotea walivyopata kiapo cha nyaraka wamemuachia je mtu kama huyu analipwa fidia?