Dream Queen JF-Expert Member Joined Nov 4, 2015 Posts 8,263 Reaction score 18,201 Jul 14, 2024 #101 Ila wanachama wa JF mnapenda sana kumchokoza kaka yangu Pasco, mbona hanaga makuu mtu peace sana au ndio maana mnamuonea?
Ila wanachama wa JF mnapenda sana kumchokoza kaka yangu Pasco, mbona hanaga makuu mtu peace sana au ndio maana mnamuonea?
Vishu Mtata JF-Expert Member Joined Dec 15, 2019 Posts 15,954 Reaction score 35,415 Jul 14, 2024 #102 Muhasibu aachana na hasara ya Azizi Ki sasa aja na hasara ya elimu ya Pascal Mayalla , huyu kijana ana visa sana aisee. Haachi kuandama raia.
Muhasibu aachana na hasara ya Azizi Ki sasa aja na hasara ya elimu ya Pascal Mayalla , huyu kijana ana visa sana aisee. Haachi kuandama raia.
Robert Heriel Mtibeli JF-Expert Member Joined Mar 24, 2018 Posts 28,297 Reaction score 68,017 Jul 14, 2024 #103 Wàpo wanataaluma za udaktari na hawajawahi kushika hata sindano. Wanafanya Kazi zingine. Wàpo wanataaluma ya Ualimu ! Hawajawahi kushika chaki.
Wàpo wanataaluma za udaktari na hawajawahi kushika hata sindano. Wanafanya Kazi zingine. Wàpo wanataaluma ya Ualimu ! Hawajawahi kushika chaki.
A ABBM JF-Expert Member Joined Apr 24, 2021 Posts 428 Reaction score 782 Jul 14, 2024 #104 PakiJinja said: Wakili siyo lazima ashinde kesi, kinachotakiwa kwa Wakili ni kuingiza hela Click to expand... Amependa hapa kwa kuwa umemtetea. Tuseme sio wakili msomi
PakiJinja said: Wakili siyo lazima ashinde kesi, kinachotakiwa kwa Wakili ni kuingiza hela Click to expand... Amependa hapa kwa kuwa umemtetea. Tuseme sio wakili msomi
N njalas JF-Expert Member Joined Oct 4, 2022 Posts 883 Reaction score 1,100 Jul 14, 2024 #105 Hismastersvoice said: Anasubiri kesi zitakazoihusu Chadema na Mbowe. Click to expand... Huko asijaribu maana atapambana na ma konki wakina kibatala
Hismastersvoice said: Anasubiri kesi zitakazoihusu Chadema na Mbowe. Click to expand... Huko asijaribu maana atapambana na ma konki wakina kibatala
OKW BOBAN SUNZU Platinum Member Joined Aug 24, 2011 Posts 53,868 Reaction score 121,001 Jul 14, 2024 Thread starter #106 Mkuu Pascal Mayalla asante kwa likes za kila mmoja
OKW BOBAN SUNZU Platinum Member Joined Aug 24, 2011 Posts 53,868 Reaction score 121,001 Mar 2, 2025 Thread starter #107 Nakazia Nakazia Nakazia. Kutokana na yaliyoendelea leo