Wakili Peter Erlinder na kifo cha Prof Juani Mwaikusa

Stuxnet

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2011
Posts
13,417
Reaction score
23,310
Prof Peter Erlinder ambaye ni wakili anayewatetea watuhumiwa wa mauaji ya kimbari ya Rwanda ya mwaka 1994 ameomba kuwasilisha utetezi wake kwa niaba ya wateja wake kupitia picha za video yaani 'video conference'.

Anasema usalama wake uko mashakani kama atakuwapo mahakamani Arusha kimwili kwa kuwa Serikali ya Rwanda inatekeleza mpango wa kuwaua watetezi wote wa watuhumiwa wa mauaji ya kimbari.

Profesa Peter ambaye ni mwanasheria wa Kimarekani anasema hataki yampate yaliyompata mwanasheria mwenzie Profesa Juani Mwaikusa wa UDSM aliyeuawa kikatili nje ya nyumba yake mwaka jana.

Ingawa sitaki kuingilia mchakato wa DCI na mahakama lakini nataka mdau mwenye details zaidi atujuze!
 
Mambo ya kawaida haya ni kama "occupational hazards"
we unadhani kumtetea muuaji na mbakaji ni jambo la kufurahiwa na kilamtu?
 
Ni mahakama tu yenye ku prove guilty of an individual otherwise ni innocence tu ndiyo inakuwa ina prevail. Haiwezekani Kagame ukatili wake ukavuka mipaka kuja kuja kuua wananchi wetu wasio na hatia kama Prof Mwaikusa halafu jamii ikakaa kimya.
 
Mkuu ni-PM hiyo link...though ingekua better uimwage tu..au unawe unaogopa?
 
Issue za wakubwa izo ukiziingilia wanakupotezea,rest in peace Mwaikasu
 
Tafadhali sana, hizo information zikipatikana, tujuzane bila choyo, hata mimi na tamaa ya kuzion!
 
Issue za wakubwa izo ukiziingilia wanakupotezea,rest in peace Mwaikasu
Ni Juani Mwaikusa siyo Mwaikasu. Mwaikasu ni Jaji Mstaafu wa Mahakama kuu ya Tanzania na kwa sasa anafundisha Tumaini University pale Iringa campus
 
Prof Peter Erlinder ambaye ni wakili anayewatetea watuhumiwa wa mauaji ya kimbari ya Rwanda ya mwaka 1994 ameomba kuwasilisha utetezi wake kwa niaba ya wateja wake kupitia picha za video yaani 'video conference'.

Anasema usalama wake uko mashakani kama atakuwapo mahakamani Arusha kimwili kwa kuwa Serikali ya Rwanda inatekeleza mpango wa kuwaua watetezi wote wa watuhumiwa wa mauaji ya kimbari.

Profesa Peter ambaye ni mwanasheria wa Kimarekani anasema hataki yampate yaliyompata mwanasheria mwenzie Profesa Juani Mwaikusa wa UDSM aliyeuawa kikatili nje ya nyumba yake mwaka jana.

Ingawa sitaki kuingilia mchakato wa DCI na mahakama lakini nataka mdau mwenye details zaidi atujuze!
Aiseee !!!
 
Tatizo la Nchi yetu haiwajali kabisa wananchi wake,kwa Nchi nyingine yenye kuwajali raia wake wangechunguza mpaka ukweli ujulikana wa kifo cha Profesa wetu na kuchukua hatua
 
Ni Juani Mwaikusa siyo Mwaikasu. Mwaikasu ni Jaji Mstaafu wa Mahakama kuu ya Tanzania na kwa sasa anafundisha Tumaini University pale Iringa campus
Anafundisha Ruaha Catholic University (RUCU) zamani Ruaha University College (RUCO) kilichopo Iringa
 
Back
Top Bottom