Wakili Peter Erlinder na kifo cha Prof Juani Mwaikusa

Wakili Peter Erlinder na kifo cha Prof Juani Mwaikusa

Vifo vya hawa watu vimeniuma sana.

1. Mauaji ya kimbari
2. Rais wa Rwanda Juvenail Habyarimana akiwa na rafiki yake ambae pia alikua ni Rais wa Burundi Cyprien Ntaryamira.

4. Thomas Sankara.
5. Raulent Kabila.
6. Fredy Rweigima.
7. Juani Mwaikusa.
8. Rev Mtikila.

Hawa wote wameuwawa na Dikteta mbu.
Yupo hapa Jf.
Fafanua namna alivyohusika kumuua Thomas Sankara!!
 

Attachments

  • IMG-20250225-WA0050.jpg
    IMG-20250225-WA0050.jpg
    30.8 KB · Views: 2
Prof Peter Erlinder alifariki two months ago. Je wataka kusemaje?

Screenshot_20250226_081352_Wikipedia.jpg
 
R.I.P Mwaikusa na ni mfano mzuri kwa wasomi mbalimbali katika kusimamia viapo vyao.
 
Back
Top Bottom