Wakili Peter Erlinder na kifo cha Prof Juani Mwaikusa

Kagame ana mengi sana ya kujibu kwa tz, ningekuwa rais ningeshampa majibu anayoyahitaji. worse enough, tangu prof wetu auawe, hajawahi kukamatwa mtu au hata kuthibitishwa kama kweli aliuawa na kagame au na wengine.
 
Ni mahakama tu yenye ku prove guilty of an individual otherwise ni innocence tu ndiyo inakuwa ina prevail. Haiwezekani Kagame ukatili wake ukavuka mipaka kuja kuja kuua wananchi wetu wasio na hatia kama Prof Mwaikusa halafu jamii ikakaa kimya.
Katika jambo liliniuma ni kifo cha Prof Mwaikusa....huwezi amini serikali ya Tanzania ipo kimya hadi leo....
Kifo cha Prof kilinifunza jambo kubwa sana kuhusu Tanzania.....
Sitasahau kamwe tukio hili...
Poleni sana Baraka na wote...
 
Za ndani ndani zinasema mzito mmoja aliyekuwa Director wa Communication wa Ikulu alihusika. Kwa kuwa naye ana asili ya Rwanda, basi ndiye aliyepokea fedha za kutekeleza udhalimu huo. The guy by then was strong a angeweza kuwaambia Polisi acheni upelelezi au akamtip mtu kuiba faili la uchunguzi. Salva R
 
Aisee!
 
Very Sad....unajua hata msibani kulikuwa na ganzi sana kulizungumzia tukio hilo...
Lakini ubaya hulipwa hapa hapa nae Mungu akamzaba kibao kupitia mwanae...
All in all wote ni marehemu watarajiwa ila tumuogope Mungu.
 
Hata Mtikila anadai anawindwa
Hizi dharau za maisha na mizaha juu ya uhai taifa hili zitaisha lini, mbona matukio ni mengi sana lakini hatujifunzi?!!!
Hawa wanasiasa wanaopatia kura zao makaburini usiku mlingotini huko naona kweli akili za Watanzania wameziinamisha na kuzipiga giza kwelikweli, hii kweli ni nchi ya WATANZWA- NIA , TANZAGIZA,
 
Ivi inakuaje kagame anatuma watu nchi nyingine kufanya mauaji na iyo nchi inajikausha kimya tu.....
 
Ivi inakuaje kagame anatuma watu nchi nyingine kufanya mauaji na iyo nchi inajikausha kimya tu.....

Tena raia wake
Ni vyema kama taifa kufanya uchunguzi wa kina wa kifo cha prof huyu ,kupewa sumu mzee mangula,kupigwa risasi lisu,kupotea ben saa nane,azron,kutekwa mo dewji,Roma.
Hayo ni matukio tata na makubwa ya ajabu kutokea ktk hii nchi na yameachwa au kupotezewa kiaina
Kuna mengi mengineyo yanafanyika ila yanapotezewa ingawaje yanatangazwa na vyombo vya habari
 
Ivi inakuaje kagame anatuma watu nchi nyingine kufanya mauaji na iyo nchi inajikausha kimya tu.....
Msururu wa watu waliouliwa na Paul Kagame ni mrefu na wala hakuanza leo. Hata yule Fred Rwegima mwanzilishi wa RPF aliyeuliwa kwenye mapambano ni yeye ndiye aliye engineer. PK ni mbobezi katika kutengeneza mbinu za kuua wapinzani wake. Patrick Karegeya naye alikuwa head wa intelligence aliuawa South Africa kwa jinsi hiyo hiyo.
 
Saliti weweee. Kumbe una muda mrefu humu?Nakudharau Sana!
 
Saliti weweee. Kumbe una muda mrefu humu?Nakudharau Sana!
Kwa nini unanidharau halafu unasoma post zangu? Mimi ni kama maji, usiponinywa, utanioga

Unanikubali sana kwa materials zinazo deliver, ila hupendi ninapo criticise ideology yako ya kisiasa.
 
Kwa nini unanidharau halafu unasoma post zangu? Mimi ni kama maji, usiponinywa, utanioga

Unanikubali sana kwa materials zinazo deliver, ila hupendi ninapo criticise ideology yako ya kisiasa.
Kwenda zako huko. Material gani unadeliver wewee? Kuwa na msimamo. Unayumba Sana mkuu n
 
Vifo vya hawa watu vimeniuma sana.

1. Mauaji ya kimbari
2. Rais wa Rwanda Juvenail Habyarimana akiwa na rafiki yake ambae pia alikua ni Rais wa Burundi Cyprien Ntaryamira.

4. Thomas Sankara.
5. Raulent Kabila.
6. Fredy Rweigima.
7. Juani Mwaikusa.
8. Rev Mtikila.

Hawa wote wameuwawa na Dikteta mbu.
Yupo hapa Jf.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…