Wakili Peter Kibatala amuumbua IGP Simon Sirro katika Sakata la kesi ya Freeman Mbowe

Kibatala wacha kutapatapa. court haina muda wa kuhangaika na hoja dhaifu kama hiyo, haswa ukizingatia kuwa Mbowe anakabiliwa na kesi nzito ya Ugaidi ambayo nadhani akikutwa na hatia adhabu yake kama sijakosea ni kifungo cha maisha gerezani, ndio maana haina dhamana wala haina ukomo wa upelelezi.hii ngoma ni zito wala sio ya kuleta maigizo na ngojera.
 
Sirro anastahili kulaniwa mpaka kizazi chake cha4
 
Siro niliyemjua, alikuwa smart Sana! Nashindwa kujua ninini wataalam na wasomi wetu huwa wanakutana nacho wakisha funga ndoa na CCM. Maana wanageuka kuchekesho na na wa hovyo isivyoelezeka.!
Bashite alishamkata mkia Afande Sirro pale alipommwagia tuhuma lukuki za kula rushwa kwa kuwalinda watuhumiwa wa madawa ya kulevya na Sirro kuwa mpole na kukaa kimya kama kamwagiwa maji baridi!

Na kuhusu tuhuma kwa polisi...mshuhudie Sirro akimtetea polisi aliyemfokea Mbowe kwamba hashindi ambaye licha ya video alidai lazima watu wasikilize utetezi kutoka pande zote mbili eti kabla ya kumhukumu.

Your browser is not able to display this video.

Huyu Sirro ana chuki binafsi na Mbowe, sijui ni kwa sababu zipi! Sijui ni wivu au ulimbukeni tu! Sijawahi kumuona IGP limbukeni kama huyu!
 
Halafu eti ndiye mtu alitaka kuwa padre!!
Ngoja siku nitamkumbusha alipotoka nikikutana naye pale Makongo - DTV kwenye lodge yake.
 
Maelezo ya Sirro ukiyatafsiri tu unajua hakuna kesi. Kulikuwa na sababu gani Sirro kwenda ahead na kutaka kuiaminisha jamii ya watanzania kuwa Mbowe is guilty? Si ndio kazi ya mahakama hii, kusikiliza pande mbili za kesi mshtaki na mshtakiwa na kuamua haki iko wapi? Hivi ni kweli Sirro hajui hata uwe na ushahidi wa wazi kiasi gani ni lazima mahakama isikilize pande zote mbili na kutoa maamuzi. Si ilikuwa busara angesema tuiachie mahakama itafanya kazi yake sisi tutawakilisha ushahidi mahakamani? Pengine alisema kwa sababu watu wengi wanasikika ku voice out upande wa mbowe kwamba anaonewa na sio gaidi, lakini kwa nafasi yake yeye hakupaswa naye kuingia kulisemea hili kwa namna alivyofanya.
 
IGP hakuonyesha weledi katika hili,lakini kibatala kama msomi mbobezi sioni kama kulikuwa na haja ya kutoka na topic hii,ambayo hata watoto wa sekondari hawawezi poteza muda kuijadili.

Yaani yeye mwenzetu ndio anagundua leo kwamba polisi hawasimamiii miiko ya kazi kitaalam,no wonder huwa wanatumia nguvu kubwa kuwauliza mswali mahakamani,watu wanacheka weeew,halafu mwisho hakimu anatoa hukumu,ile ile kwa mteja wake.
 
Kama yule wa RPC wa Abdul Nondo.

Akafanya Preess na Nondo yupo pembeni kuwa alijiteka mwenyewe. Mahakama ikamuachia huru, RPC sijamsikia tena.

Mambo ya wakuu wa Polisi kufanya press za kuwahukumu watuhumiwa sijui zimetoka wap
Hadi mwigulu mishipa ilimtoka akasisitiza nondo amejiteka eti kwasababu mkoba wake umekutwa kabeba perfume 🤣
 
Well said Adv.Kibatala.The IGP seem doomed by his aggression.
 
Hawa ndio mawakili walioenda shule na wakaelimika, na ndio wanaopaswa kuitwa "wakili msomi".

Polisi mkuu anaizungumzia kesi ambayo ipo mahakamani na yeye ndiye shahidi!!
Only in Tanzania!
Pia Hawa ndo wanatakiwa wapitie rasmu ya walioba ili kufanya maboresho ya upatikanaji wa katiba mpya siyo wanaccm wanatetea matumbo yao
 
Hiyo lugha siro haelewi kitu,plus huyo macho kumchuzi nae haelewi kitu kazi kurembua tu,alifikiria mcherengwa ndio atambeba 2025
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…