Ulongupanjala
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 8,273
- 13,567
Hakuna uana sheria pale zaidi ya kutafuta aongezewe muda kwenye cheo chake.Sirro ni mwanasheria pia, anajua anachokisema!
Trust me.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna uana sheria pale zaidi ya kutafuta aongezewe muda kwenye cheo chake.Sirro ni mwanasheria pia, anajua anachokisema!
Inawezekana ni mwanasheria,tatizo ukisha ingia ccm,akili zinawekwa kando,Kuna Profesa alisema chuo alichokuwa anafundisha ni jalalani,Sirro ni mwanasheria pia, anajua anachokisema!
Mahakamani napo atakuwepo?Anawaachia wengine kazi ambayo hawakuipika waipakue.Aibu.Sirro ni mwanasheria pia, anajua anachokisema!
Wewe ni nyumba ndogo ya Lucifer na tayari ameshakupachika mimbaChadema ni mawakili wa shetani,
Nawasilisha.
Hivi unaweza wafananisha hao na sirro ambaye ni IGP jaribu kutumia akili acha ujingaameona polisi tu ndio wameongea, amesahau kuwa kina Hilda newton na cdm wote wanaongelea kesi hii na kuingilia mahakama kila siku. cdm huwa wanaamini kila mtanzania ni cdm, wamesahau kwamba wao ni minority, hivyo mawazo yao sio mawazo ya watanzania wote. hata wazungu wanaowasapoti wanakuwa biased kiasi kwamba utafikiri tz yote ni cdm, kumbe kuna vyama vingine hawasapoti mambo yanayoombwa au kufanywa na cdm.
He's a headless chicken,hakuna sheria mule!Sirro ni mwanasheria pia, anajua anachokisema!
Hawa ndio mawakili walioenda shule na wakaelimika,na ndio wanaopaswa kuitwa "wakili msomi".
Polisi mkuu anaizungumzia kesi ambayo ipo mahakamani na yeye ndiye shahidi!!
Only in Tanzania!
Umenikumbusha kale la wimbo kwa lafudhi kimasai " tokomeze sirox3"Sirro=0°
Hata open university,Kuna degree za sheriaSirro ni mwanasheria pia, anajua anachokisema!
Iko siku tutaota sugu hatutageuka nyuma. Tunazidi kukomazwa kupitia uongo mtakatifu tunaozidi kutungiwa. Iko siku hata mawe itasema na kugeuka ngao na fimbo ya kuwachapia wanaoinajisi haki ndani ya nchi hii nzuri aliyoijenga Nyerere kwa muda mrefu.Dear Mr. IGP, Esq; Simon Sirro
1. When a matter is in Court, U are no longer the spokesperson in terms of the charges, or the evidence to be adduced in that regard. U, and those subordinate to U, of whom we will cherish the opportunity to cross-examine thoroughly, are just witnesses. The DPP's Office prosecutes, and it ought to be spokes-institution in the matter; if at all such a need is logically and legally necessary when they have notified the Court that investigation is complete and we expect the judicial process to take its course. Mbowe will tell his story, too; do not forget that.
Unasema suala lipo Mahakamani; and yet unaenda kwenye contents in a Press Conference 🤷♂️.
Anyways; Thank U for making Urself eligible to be summoned by us.
2. Nimesikia unasema watu wakamuulize Mbowe awaambie ukweli; do U also mean waende wakawaulize wale vijana waliokuwa wanajeshi wa zamani, ambao wanashtakiwa pamoja na Mbowe, namna walivyotuambia sisi Mawakili kwamba waliteswa sana kabla ya kufikishwa Mahakamani? Mmoja wa hao vijana anasema hawezi hata kutembea vyema (ni kama amepata ulemavu) kwa sababu hiyo, na mwingine ametuonesha kile anachosema ni makovu aliyoyapata kutokana na mateso makali wakati wa mahojiano. Did U mean they should also have the opportunity to air their grievances of torture at this moment in time; to say that they were pressurized into implicating Mbowe, something they steadfastly refused to do?
I mean; what is good for the goose, must be good for the gander.
3. I am sure, upon reflection, U will find that Ur Presser was a contradiction in terms, inopportune and very ill-advised; and that the professional thing for U to do was to muster Ur witnesses and bring them to Court, where they will meet us fully prepared.
Mbona Mbowe nae kachoma!? Au yeye hawezi pukutika!?Msijisumbue na hao Polishishiemu , kwanza muda wake unahesabika juzi alijitia kuchoma yale maji ya Marekani yaani hawana muda hawa wataanza kupukutika mmoja mmoja , muda ni mwalimu tosha sana ndugu zangu mtakuja kuikumbuka hii thread na tarehe ya leo
Hiki ni kiingereza au mkusanyiko wa maneno ya Kiingereza?Dear Mr. IGP, Esq; Simon Sirro
1. When a matter is in Court, U are no longer the spokesperson in terms of the charges, or the evidence to be adduced in that regard. U, and those subordinate to U, of whom we will cherish the opportunity to cross-examine thoroughly, are just witnesses. The DPP's Office prosecutes, and it ought to be spokes-institution in the matter; if at all such a need is logically and legally necessary when they have notified the Court that investigation is complete and we expect the judicial process to take its course. Mbowe will tell his story, too; do not forget that.
Unasema suala lipo Mahakamani; and yet unaenda kwenye contents in a Press Conference 🤷♂️.
Anyways; Thank U for making Urself eligible to be summoned by us.
2. Nimesikia unasema watu wakamuulize Mbowe awaambie ukweli; do U also mean waende wakawaulize wale vijana waliokuwa wanajeshi wa zamani, ambao wanashtakiwa pamoja na Mbowe, namna walivyotuambia sisi Mawakili kwamba waliteswa sana kabla ya kufikishwa Mahakamani? Mmoja wa hao vijana anasema hawezi hata kutembea vyema (ni kama amepata ulemavu) kwa sababu hiyo, na mwingine ametuonesha kile anachosema ni makovu aliyoyapata kutokana na mateso makali wakati wa mahojiano. Did U mean they should also have the opportunity to air their grievances of torture at this moment in time; to say that they were pressurized into implicating Mbowe, something they steadfastly refused to do?
I mean; what is good for the goose, must be good for the gander.
3. I am sure, upon reflection, U will find that Ur Presser was a contradiction in terms, inopportune and very ill-advised; and that the professional thing for U to do was to muster Ur witnesses and bring them to Court, where they will meet us fully prepared.
Then, it's good wanasheria nguli wamekutana - mbichi na mbivu kujulikana in due course.Sirro ni mwanasheria pia, anajua anachokisema!
Endelea kukariri!too low