Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa kiherehere chake, anaenda mabakamani kutoa ushahidi. Kibatala kasema atakuwa summoned kwa court akayaeleze vizuri. Mungu kasbindwa kuvumilia hujuma hiiHawa ndio mawakili walioenda shule na wakaelimika,na ndio wanaopaswa kuitwa "wakili msomi".
Polisi mkuu anaizungumzia kesi ambayo ipo mahakamani na yeye ndiye shahidi!!
Only in Tanzania!
Huyuu mzee bora astaafu tuu. Anajishushia heshima makonda alimuendesha kama gari bovu. Saivi anaendeshwa na maagizo kutoka juu. Akistaafu sijui atakumbukwa kwa lipi.
Kina chompa kiburi ni bunduki huyu mpuuziSirro ni mwanasheria pia, anajua anachokisema!
Mwanasheria mbumbumbu.yule kutokuwa padri ilikuwa sahihi kabisa. Alafu alivyo wa ajabu anasema muulizeni mbowe si mkristo aseme ukweli. Yeye siro angekuwa mkristo angekuwa mwongo na mbambikiza kesi.Sirro ni mwanasheria pia, anajua anachokisema!
Mwanasheria uchwara kama walivyo maprofesa uchwara huko CCMSirro ni mwanasheria pia, anajua anachokisema!
Na wewe acha upumbavu wako wa kiccm hapaAcheni hasira.
Unaweza ukawa Mwanasheria na ukawa Mpuuzi, tuna Maprofesa Wapumbavu pia usisahau na tuna Askari Wapuuzi kama YeyeSirro ni mwanasheria pia, anajua anachokisema!
Au Ubalozi akistaafuChezea ahadi ya ubunge
Alizaliwa 1963Hivi Siro mpaka leo hajafika miaka 60 tu?
Mkristo huyo ambaye alitaka kuwa padri. Sirro ujatubu dhambi unazitenda. Siasa zinakuburuza mpaka unaacha Mungu.Sirro huyu huyu aliyeokota gari jalalani ?
View attachment 1878218
Safi sana wakili msomi na mbobezi wa sheria. I was also astonished to hear such uncalled-for press release from a high-ranked police force officer! Is this a kind of government leaders we have?! Let him be brought to justice so as to bring him to senses.Dear Mr. IGP, Esq; Simon Sirro
1. When a matter is in Court, U are no longer the spokesperson in terms of the charges, or the evidence to be adduced in that regard. U, and those subordinate to U, of whom we will cherish the opportunity to cross-examine thoroughly, are just witnesses. The DPP's Office prosecutes, and it ought to be spokes-institution in the matter; if at all such a need is logically and legally necessary when they have notified the Court that investigation is complete and we expect the judicial process to take its course. Mbowe will tell his story, too; do not forget that.
Unasema suala lipo Mahakamani; and yet unaenda kwenye contents in a Press Conference 🤷♂️.
Anyways; Thank U for making Urself eligible to be summoned by us.
2. Nimesikia unasema watu wakamuulize Mbowe awaambie ukweli; do U also mean waende wakawaulize wale vijana waliokuwa wanajeshi wa zamani, ambao wanashtakiwa pamoja na Mbowe, namna walivyotuambia sisi Mawakili kwamba waliteswa sana kabla ya kufikishwa Mahakamani? Mmoja wa hao vijana anasema hawezi hata kutembea vyema (ni kama amepata ulemavu) kwa sababu hiyo, na mwingine ametuonesha kile anachosema ni makovu aliyoyapata kutokana na mateso makali wakati wa mahojiano. Did U mean they should also have the opportunity to air their grievances of torture at this moment in time; to say that they were pressurized into implicating Mbowe, something they steadfastly refused to do?
I mean; what is good for the goose, must be good for the gander.
3. I am sure, upon reflection, U will find that Ur Presser was a contradiction in terms, inopportune and very ill-advised; and that the professional thing for U to do was to muster Ur witnesses and bring them to Court, where they will meet us fully prepared.
Kwa hiyo wakati anatoa press yake alikuwa kavaa kofia ipi?Sirro ni mwanasheria pia, anajua anachokisema!
Mkuu watacop nini awa viongozi wenye akili ambayo aina tofauti na jambazi wa silaha?.all in all huwezi pata cheo kikubwa nchi hii kama siyo kada kindakindaki wa chama cha mapoyoyo na hapo ndipo wanapoharibu hii nchi... bull crap, they always think we were, are....will remain fools all the time, na ndiyo maana hwataki wananchi wa kawaida wapatiwe elimu bora ya kijitambua na kujipa value ila kwa watoto wao ni tofauti ambao ni minority ( et vieitee... hii kitu inawachanganya sana) lakini wakumbuke miaka 30 inayokuja hii nchi itakuwa na democrasia ya kweli maana wataenda kupewa kazi kule mbinguni na msaidizi wa malaika mkuu aliyetangulia mwaka huu. Intellectual mmoja nguli alituambia 60% ya watumishi ni mambumbu akatokea mbumbumbu mmoja akamshambulia na kumtishia badala ya kujibu hoja, yes 80% ni mambumbu na masnitch including me. Leo mjinga mmoja anaenda ku copy mambo ya nchi tajiri analeta huku kwenye nchi masikini... well .. sasa nawaomba wa copy kubana matumizi kutoka nchi ya India ili twende sawa... mwawaziri wapewe magari ya mahindra na wengine wapewe tata double cabin full stop
Mwache ajibu mwenyeweSirro ni mwanasheria pia, anajua anachokisema!
Atakuja na majibu ya kividole juuKwa hiyo wakati anatoa press yake alikuwa kavaa kofia ipi?
Mwanasheria au IGP?
Kinachomtesa Sirro kwa swala la mbowe Ni Kutaka Dhambi aliyoifanya iwe kitu kitakatifu machoni pa wenye akili.Kama ni mwanasheria basi si mzuri. Kwa maneno ya Lissu ni mwanasheria uchwara! Huwezi kumimplicate mtu wakati unajua mahakama ndiye muamuzi. Wewe kazi yako ni kupeleka hoja mahakamani plus all evidence. Pia huwezi kuizungumzia kesi ambayo tayari iko mahakamani. Unaharibu mwenendo wa kesi! Sasa huyu ni mwanasheria gani? Mwanasheria mzuri hawezi kutoka hadharani na kuanza kuropoka. Kwanza who is Mbowe kwa IGP? Mbowe ni mtu mdogo sana kwa IGP. IGP anamuogopa mtu mdogo kama Mbowe? Kwanini anataka kutuaminisha watanzania kuwa Mbowe ni gaidi hali sisi tunasubiri mahakama itoe hukumu tujue ukweli?