Wakili Peter Kibatala: Tumejiandaa kushughulika na Shahidi katika mashtaka ya Lissu

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Joined
Apr 18, 2017
Posts
5,352
Reaction score
15,876
Your browser is not able to display this video.
Akizungumza kwaniaba ya jopo la Mawakili wanaomtetea Mwenyekiti wa Chadema Taifa Tundu Lissu baada ya Kesi ya kuchapisha taarifa za uongo mtandaoni kuahirishwa mpaka Julai 1, 2025, Wakili Peter Kibatala amesema kwamba walikuwa wamejipanga kwa ajili ya Shahidi ambaye ameanza kutoa ushahidi leo aliyejitamburisha kwa jina la PF. 22863 Inspector John.

Amesema kuwa leo kutokana na sababu zilizoelezwa na Jamhuri hawakuweza kumfanyia Cross-Examination, lakini ameeleza kwamba siku atakapoletwa tena mahakamani watasghulika naye kwenye hatua hiyo kwa kuwa wanamjua vizuri.

Inspector John akitoa ushahidi mbele ya Mahakama, amesema akiwa anatekeleza majukumu yake alikutana na picha mjongeo (video) iliyorushwa 'live' kupitia ukurasa wa YouTube wa Jambo Tv ambayo ilichapishwa April 3, 2025, ilipoiangalia na kuisikiliza na maudhui yenye jinai kupitia matamshi.

 
Taaluma hizi zinakosa maana kabisa pale ujinga unapokubaliwa mahakamani.

Eti mna babishana ujinga mahakamani kwa vifungu vya sheria.
 
polisi ndio mda wao huu wa kuchezea kodi zetu na pesa mama anazokopakopa
 
Nimesikia Rungwe yuko Kilimanjaro 🐼
Ungana naye ukale machalari, mtori, kisusio na mbege kwani kule hawajui kupika ubwabwa! Kama nauli ni shida njoo kimara nikuombee lift kwenye gari yetu pendwa ya magazeti!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…