Mkono Mmoja
JF-Expert Member
- Jan 26, 2019
- 4,994
- 9,625
kesi inakuja kuisha mama Samia kashaapishwa urais...
Vifaranga vimeshamlambisha viwatilifu mzee wa watuNimesikia Rungwe yuko Kilimanjaro 🐼
Poa tu, hata Magufuli aliapishwa November 2020.kesi inakuja kuisha mama Samia kashaapishwa urais...
Mkuu, ni nini kilimsibu hadi asionekane kwenye mkutano huo?Taarifa za awali zinasema "...Licha ya Rungwe kutajwa kuwepo kwenye ziara hiyo ya kikazi mkoani Kilimanjaro hakuonekana kwenye mikutano ya hadhara ambayo ilifanyika mji mdogo wa Himo na viwanja vya Stendi kuu ya Mabasi Moshi Mjini..."
Ati anafanya doria mitandaoni. Hawana hata aibu karne hii unawezaje kuwa na maafisa wa kuachungulia watu wanasema nn?
Hii kesi imefunguliwa na maCCM ili kumdhoofisa kisiasa Tundu Lissu. Mungu anawaona hawa wapuuzi.Akizungumza kwaniaba ya jopo la Mawakili wanaomtetea Mwenyekiti wa Chadema Taifa Tundu Lissu baada ya Kesi ya kuchapisha taarifa za uongo mtandaoni kuahirishwa mpaka Julai 1, 2025, Wakili Peter Kibatala amesema kwamba walikuwa wamejipanga kwa ajili ya Shahidi ambaye ameanza kutoa ushahidi leo aliyejitamburisha kwa jina la PF. 22863 Inspector John.
Amesema kuwa leo kutokana na sababu zilizoelezwa na Jamhuri hawakuweza kumfanyia Cross-Examination, lakini ameeleza kwamba siku atakapoletwa tena mahakamani watasghulika naye kwenye hatua hiyo kwa kuwa wanamjua vizuri.
Inspector John akitoa ushahidi mbele ya Mahakama, amesema akiwa anatekeleza majukumu yake alikutana na picha mjongeo (video) iliyorushwa 'live' kupitia ukurasa wa YouTube wa Jambo Tv ambayo ilichapishwa April 3, 2025, ilipoiangalia na kuisikiliza na maudhui yenye jinai kupitia matamshi.