Wakili Peter Kibatala: Tumejiandaa kushughulika na Shahidi katika mashtaka ya Lissu

Taarifa za awali zinasema "...Licha ya Rungwe kutajwa kuwepo kwenye ziara hiyo ya kikazi mkoani Kilimanjaro hakuonekana kwenye mikutano ya hadhara ambayo ilifanyika mji mdogo wa Himo na viwanja vya Stendi kuu ya Mabasi Moshi Mjini..."
Mkuu, ni nini kilimsibu hadi asionekane kwenye mkutano huo?
 
Kuna tetesi kwamba mwamba ni shahidi muhimu kwenye hii kesi🐼

cc. johnthebaptist
Ati anafanya doria mitandaoni. Hawana hata aibu karne hii unawezaje kuwa na maafisa wa kuachungulia watu wanasema nn?
Mbona asifanye Doria mtandaoni na kumkamata AMOSI MAKALA.Mzee wa MPOX na EBOLA???
 
Hii kesi imefunguliwa na maCCM ili kumdhoofisa kisiasa Tundu Lissu. Mungu anawaona hawa wapuuzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…