Nimechoka Sana
Member
- May 4, 2024
- 37
- 190
Zati bichi is in deep shit. Akigeuka, nshale; akiinama, nshale; anything she does, nshale!😅
Tuikuwa Bado wadogo tunasoma vyuoMbona magu hakumshitaki
Tabora hawapendi shereheAnapenda sherehe yule mtu wa tabora
Ndiyo ujue waongoKwani Si inasemwa kwamba RAISI aliyeko madarakani hashitakiwi ama mimi nimeelewa vibaya?
Una mtu ?Tabo
Tabora hawapendi sherehe
UNa kiwango Cha juu sana Cha ujingaMbona magu hakumshitaki
Ndiyo kichaka ulichoamua kujifichia?UNa kiwango Cha juu sana Cha ujinga
Kwamba kosa unahalalisha na kosa lingine ?
Raisi aliyeko madarakani si nasikia hashitakiwi?UNa kiwango Cha juu sana Cha ujinga
Kwamba kosa unahalalisha na kosa lingine ?
Niliishi kule miaka 14Una mtu ?
Namjibu huyo mjinga anayesema kama Magufuli alifanya makosa yanapaswa kuendelea kufanyikaRaisi aliyeko madarakani si nasikia hashitakiwi?
Yeye madeleka anamshitaki kwa utaratibu gani?
Kwamba kama Fulani alifanyiwa na wewe unataka ufanyiwe sio ??Ndiyo kichaka ulichoamua kujifichia?
Huyu nae mimi huwa simuelewi katiba tuliyonayo mbovu na rais hashitakiwi kipindi kama hiki angekuwa bize huko kwenye mahakama za kimataifa hata hapo maakama ya east africa tu ila wapi yeye anataka kupambana na katiba ambayo teyari haiwezi kutoa haki kwa watanzania.Wakili Peter Madeleka amshtaki rais Samia kwa kufuta sherehe za Maadhimisho ya Uhuru wa Tanganyika, (Desemba 9) katika Mahakama ya Tanzania Masjala Kuu ya Dodoma.
Soma: PostGE2025 - Sherehe za sikukuu ya Uhuru zapigwa STOP. Fedha kutumika kurekebisha miundombinu iliyoharibika wakati wa Uchaguzi Mkuu
View attachment 3507383