PostGE2025 Wakili Peter Madeleka amshtaki Rais Samia kwa kufuta sherehe za uhuru wa Tanganyika, Desemba 9

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Kwa mahakama zipi??

Tunapotezeana tu muda
G24tWxWWAAAIgN3.jpg
 
Wakili Peter Madeleka amshtaki rais Samia kwa kufuta sherehe za Maadhimisho ya Uhuru wa Tanganyika, (Desemba 9) katika Mahakama ya Tanzania Masjala Kuu ya Dodoma.

Soma: Sherehe za sikukuu ya Uhuru zapigwa STOP. Fedha kutumika kurekebisha miundombinu iliyoharibika wakati wa Uchaguzi Mkuu

View attachment 3507383
Watu kama huyo muhuni madeleka sio wa kutilia maanani hapo anatafuta kiki TU ama analengo la kuwatoa watu kwenye mjadala unaoendela kwa sasa
 
Raisi aliyeko madarakani si nasikia hashitakiwi?

Yeye madeleka anamshitaki kwa utaratibu gani?
Ameweka pingamizi ya kupiga agizo la Rais la kutokufanyika sherehe za uhuru sio kumshitaki Rais binafsi, Rais ni taasisi
Hapa mahakama kama mhimili huru utaangalia kama hilo agizo Lina fit kwenye sheria na katiba, mahakama ikiona siyo inaweza kubadilisha hilo agizo la Rais na sherehe za uhuru zikawepo kama kawaida
 
Washauri wenyewe hawajui sheria, unatagemea nini, stupid
 
Tuna bahati mbaya kama Watanganyika awamu hii ya 6
Mshauri hajui hata sheria zinasemaje sasa ana shauri nini? Eti mshauri Steve Mengele anakushauri nini kwenye masuala ya kisheria? Unaweka machawa wanakushauri upuuzi mwisho unafanya upuuzi
 
Kiufupi huyo mama sio Presidential material
Yaani hata speech tu anaongea kama layman tu
Hata tu selection ya Baraza fake la mawaziri unaona kabisa, huyu mtu hakupata washauri wazuri
 
Yaan mambo mengine sio ya kuyaongelea sana 9D haipo mbali na muda sio rafiki,
 
Zati bichi is in deep shit. Akigeuka, nshale; akiinama, nshale; anything she does, nshale!😅
Mbona Magu alifuta karibia zote ila mliweka zipu midomoni ...hizi double standards ndizo zinafanya jamii ya waislamu walete ngebe.
 
Huyu fazafaka hafuti haya maadhimisho in good faith. Maandamano yaliyopangwa na Gen Z kufanyika siku hiyo ndiyo yaliyomsukuma kufuta hayo maadhimisho!
 
Back
Top Bottom