Wakili Peter Madeleka: CHADEMA kuzuia Uchaguzi 2025 kwa kigezo hakuna "reforms" ni kosa la Jinai

Wakili Peter Madeleka: CHADEMA kuzuia Uchaguzi 2025 kwa kigezo hakuna "reforms" ni kosa la Jinai

DogoWaNjombe

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2022
Posts
3,284
Reaction score
7,708
Wakili Peter Madeleka amesema CHADEMA kupanga kuzuia Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2025 ni kupanga kufanya kosa la jinai, na kwamba ACT Wazalendo haiwezi kuunga mkono suala hilo.

Mahojiano ya One on One ambayo Shahidi wa Jamhuri Charles William amefanya na Wakili Madeleka yanapatikana pia katika YouTube ya Wasafi Media.

Chanzo: Wasafi TV

============================


Ikumbukwe kwa mujibu Madeleka, aliwahi kuwa Askari wa Jeshi la Polisi kabla ya kujipambanua kama mwanaharakati wa Haki za Binadamu na badae kujiunga na Chadema kabla ya kutangaza rasmi kujiunga na ACT Wazalendo, ambako tayari ameweka nia yake wazi kuwania Ubunge wa Kivule kupitia tiketi ya Chama hicho.
 
Wakili Peter Madeleka amesema CHADEMA kupanga kuzuia Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2025 ni kupanga kufanya kosa la jinai, na kwamba ACT Wazalendo haiwezi kuunga mkono suala hilo.

Mahojiano ya One on One ambayo Shahidi wa Jamhuri Charles William amefanya na Wakili Madeleka yanapatikana pia katika YouTube ya Wasafi Media.

Chanzo: Wasafi TV
Huyu nae si aendelee na act yake? Ya chadema yanamhusu nini. Chadema hawazuii kwa nguvu wanashawishi watu wasiende kupiga kura
 
Madeleka ajikite namna ya kuja kuibuka na ushindi wa kishindo, hayo ya chadema kuzuia uchaguzi awaachie Chadema wenyewe.
 
Huyu jamaa ndio maana hajawahi kushinda kesi hata moja mahakamani.
 
Hivi chadema wamezuia uchaguzi 2025?.....
Kumbe uchaguzi umeshafanyika aisee nimepitwa..sasa hiyo October tunatiki tunaenda kutiki nini?...eti madeleka cha pombe...
 
Back
Top Bottom