DogoWaNjombe
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 3,284
- 7,708
Huyu nae si aendelee na act yake? Ya chadema yanamhusu nini. Chadema hawazuii kwa nguvu wanashawishi watu wasiende kupiga kuraWakili Peter Madeleka amesema CHADEMA kupanga kuzuia Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2025 ni kupanga kufanya kosa la jinai, na kwamba ACT Wazalendo haiwezi kuunga mkono suala hilo.
Mahojiano ya One on One ambayo Shahidi wa Jamhuri Charles William amefanya na Wakili Madeleka yanapatikana pia katika YouTube ya Wasafi Media.
Chanzo: Wasafi TV
CCM watamsnitch kwenye huu uchaguzi hata Kuja kuwasahauPolice mstaaafu aachi asili ,snitches get stitches