Wakili Peter Madeleka: Maigizo ya Bi Samia Suluhu Hassan na wafungwa wavaa heleni, gereza la UKONGA

The Palm Beach

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2015
Posts
4,249
Reaction score
11,592
Screenshot_20260511-185924.png

Ufuatiliaji wa JamiiCheck

JamiiCheck imefuatilia na kujiridhisha kuwa picha hii si halisi bali imehaririwa kwa Akili Unde.

Zaidi soma: POTOSHI Je, picha hii ya mfungwa aliyevaa hereni kutoka gereza la UKONGA ni halisi?
 
Kw
View attachment 3587184
Mwingine huyu hapa. Eti mfungwa mlawiti/mbakaji anabusiana na anayedhaniwa kuwa ni Rais wa Tanzania, Bi Samuya

Yaani ngoma iko hivi: Mfungwa mbakaji/mlawiti/mfiraji vs Mfungwa Mtarajiwa wa ICC/muuaji na msa.gaji.😭😭😭©
Kwanini hawakuniita mimi nile hizo hela mbona hizi sanaa tunaziweza ,mimi ningeenda kupiga tukio kwanza Magagura huko miezi 3 kabla alafu makahani naletwa kisutu alafu nakula mvua za uongo kama 10 hivi alafu igizo likiisha naenda kutokea kigoma alafu maisha naenda kukaa Lusahunga kitongoji kinaitwa kikoma kwa juu mlimani na bondeni huko nalima miwa tu mwaka mmoja watu wanasahau mimi nakuja mjini
 
Itakuwa roho za marehem aliowatanguliza zinamuhangaisha huyu mama,ndipo tunaambiwa tuchunge kauli zetu,aliropoka huyu aliposema mimi sijauwa sisimizi,sasa angalia kilichomtokea? kama Nyerere aliposema nitamuona raisi wa awamu ya nne....
 
acha upotoshaji nonsnse gentleman plz
 
Jamaa huwa wako vizuri kwa maigizo, kuanzia kuleta watu kwenye mikutano yao kwa malori, wakatoliki feki. masheikh feki..

Hata hili la wafungwa nalo sitashangaa.
Wale masheikh hawakuwa feki mkuu. No original kabisa sema akili yao ndio ilipoishia pale
 
Kw
Kwanini hawakuniita mimi nile hizo hela mbona hizi sanaa tunaziweza ,mimi ningeenda kupiga tukio kwanza Magagura huko miezi 3 kabla alafu makahani naletwa kisutu alafu nakula mvua za uongo kama 10 hivi alafu igizo likiisha naenda kutokea kigoma alafu maisha naenda kukaa Lusahunga kitongoji kinaitwa kikoma kwa juu mlimani na bondeni huko nalima miwa tu mwaka mmoja watu wanasahau mimi nakuja mjini
Hahahaa mqgagula songea iyo
 
acha upotoshaji nonsnse gentleman plz
Upotoshaji kivipi? wewe hukusikia alisema mimi sijawahi uwa hata sisimizi matokeo yake ndio haya. Kutoka moyoni kabisa Tlaatlaah do you wish that Samia could be your mother??? Maneno ya Allah hayajawahi enda kinyume,aliposema mwanamke hapaswi kuwa kiongozi mkuu. Na sijui kwanini Saidi Mwema alikubali kuingia kwenye hii tume ya chande,ni kujidhalilisha alikuwa na heshima kushinda kamanda yeyote wa police.
 
Jamaa huwa wako vizuri kwa maigizo, kuanzia kuleta watu kwenye mikutano yao kwa malori, wakatoliki feki. masheikh feki..

Hata hili la wafungwa nalo sitashangaa.
Kama ni kweli hayo ya madereka basi hawako vizuri kama wewe unavyosema.
 
Upotoshaji kivipi? wewe hukusikia alisema mimi sijawahi uwa hata sisimizi matokeo yake ndio haya. Kutoka moyoni kabisa Tlaatlaah do you wish that Samia could be your mother??? Maneno ya Allah hayajawahi enda kinyume,aliposema mwanamke hapaswi kuwa kiongozi mkuu. Na sijui kwanini Saidi Mwema alikubali kuingia kwenye hii tume ya chande,ni kujidhalilisha alikuwa na heshima kushinda kamanda yeyote wa police.
it true beyond reasonable doubts, Dr.Samia Suluhu Hassan hajawahi kuua mtu, mnyama wala mdudu humu duniani. She is innocent in almost everything on earth.

Dr.Samia Suluhu Hassan is the mother of everyone within this very beautiful land of Tanzania
.
she is among very blessed woman on earth.

hizo porojo zingine kwangu naona kama ramli tu kwenye ushirikina,
yaani mbebwe ufala wa kifikea na kurubuniwa na vipande vya fedha na AZAKI, mfanye ugaidi, mpoteze maisha kisha msingizie wasiohusika, hiyo ni nonsense kupindukia gentleman
 
Back
Top Bottom