Wakili Peter Madeleka: Maigizo ya Bi Samia Suluhu Hassan na wafungwa wavaa heleni, gereza la UKONGA

Wakili Peter Madeleka: Maigizo ya Bi Samia Suluhu Hassan na wafungwa wavaa heleni, gereza la UKONGA

kulikoni nikae magereza na mimi ni raia mwema na mtiifu kwa sheria na katiba ya nchi gentleman?

😄 sasa Raia ambao sio wema wamesema gerezani wanawake hawavai Hereni

Means possibly yule dada sio mfungwa,

Swali ni why alitambulishwa kama mfungwa?
.
 
Mama amenawiri kwa kula mshahara na posho kila mwezi 🔥
 
Yaleyale ya wakatoliki wavaa vijora na mapambio ya kilokole.😀
 
Back
Top Bottom