The Palm Beach
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 4,249
- 11,592
nonsenseView attachment 3587184
Mwingine huyu hapa. Eti mfungwa mlawiti/mbakaji anabusiana na anayedhaniwa kuwa ni Rais wa Tanzania, Bi Samuya
Yaani ngoma iko hivi: Mfungwa mbakaji/mlawiti/mfiraji vs Mfungwa Mtarajiwa wa ICC/muuaji na msa.gaji.😭😭😭©
nonsense
Kwanini hawakuniita mimi nile hizo hela mbona hizi sanaa tunaziweza ,mimi ningeenda kupiga tukio kwanza Magagura huko miezi 3 kabla alafu makahani naletwa kisutu alafu nakula mvua za uongo kama 10 hivi alafu igizo likiisha naenda kutokea kigoma alafu maisha naenda kukaa Lusahunga kitongoji kinaitwa kikoma kwa juu mlimani na bondeni huko nalima miwa tu mwaka mmoja watu wanasahau mimi nakuja mjiniView attachment 3587184
Mwingine huyu hapa. Eti mfungwa mlawiti/mbakaji anabusiana na anayedhaniwa kuwa ni Rais wa Tanzania, Bi Samuya
Yaani ngoma iko hivi: Mfungwa mbakaji/mlawiti/mfiraji vs Mfungwa Mtarajiwa wa ICC/muuaji na msa.gaji.😭😭😭©
Itakuwa roho za marehem aliowatanguliza zinamuhangaisha huyu mama,ndipo tunaambiwa tuchunge kauli zetu,aliropoka huyu aliposema mimi sijauwa sisimizi,sasa angalia kilichomtokea? kama Nyerere aliposema nitamuona raisi wa awamu ya nne....nonsense
acha upotoshaji nonsnse gentleman plzItakuwa roho za marehem aliowatanguliza zinamuhangaisha huyu mama,ndipo tunaambiwa tuchunge kauli zetu,aliropoka huyu aliposema mimi sijauwa sisimizi,sasa angalia kilichomtokea? kama Nyerere aliposema nitamuona raisi wa awamu ya nne....
Wale masheikh hawakuwa feki mkuu. No original kabisa sema akili yao ndio ilipoishia paleJamaa huwa wako vizuri kwa maigizo, kuanzia kuleta watu kwenye mikutano yao kwa malori, wakatoliki feki. masheikh feki..
Hata hili la wafungwa nalo sitashangaa.
Naona kama amepiga mpaka lipstick. Bila shaka wafungwa wa Ukonga wanaweza hata kufanya beauty contest!😀
Hahahaa mqgagula songea iyoKw
Kwanini hawakuniita mimi nile hizo hela mbona hizi sanaa tunaziweza ,mimi ningeenda kupiga tukio kwanza Magagura huko miezi 3 kabla alafu makahani naletwa kisutu alafu nakula mvua za uongo kama 10 hivi alafu igizo likiisha naenda kutokea kigoma alafu maisha naenda kukaa Lusahunga kitongoji kinaitwa kikoma kwa juu mlimani na bondeni huko nalima miwa tu mwaka mmoja watu wanasahau mimi nakuja mjini
kulikoni nikae magereza na mimi ni raia mwema na mtiifu kwa sheria na katiba ya nchi gentleman?Umewahi kukaa magereza?
Upotoshaji kivipi? wewe hukusikia alisema mimi sijawahi uwa hata sisimizi matokeo yake ndio haya. Kutoka moyoni kabisa Tlaatlaah do you wish that Samia could be your mother??? Maneno ya Allah hayajawahi enda kinyume,aliposema mwanamke hapaswi kuwa kiongozi mkuu. Na sijui kwanini Saidi Mwema alikubali kuingia kwenye hii tume ya chande,ni kujidhalilisha alikuwa na heshima kushinda kamanda yeyote wa police.acha upotoshaji nonsnse gentleman plz
Kama ni kweli hayo ya madereka basi hawako vizuri kama wewe unavyosema.Jamaa huwa wako vizuri kwa maigizo, kuanzia kuleta watu kwenye mikutano yao kwa malori, wakatoliki feki. masheikh feki..
Hata hili la wafungwa nalo sitashangaa.
it true beyond reasonable doubts, Dr.Samia Suluhu Hassan hajawahi kuua mtu, mnyama wala mdudu humu duniani. She is innocent in almost everything on earth.Upotoshaji kivipi? wewe hukusikia alisema mimi sijawahi uwa hata sisimizi matokeo yake ndio haya. Kutoka moyoni kabisa Tlaatlaah do you wish that Samia could be your mother??? Maneno ya Allah hayajawahi enda kinyume,aliposema mwanamke hapaswi kuwa kiongozi mkuu. Na sijui kwanini Saidi Mwema alikubali kuingia kwenye hii tume ya chande,ni kujidhalilisha alikuwa na heshima kushinda kamanda yeyote wa police.